Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Waha ni watata balaa, ikishindikana wanatumia ndumba. Kuna mmoja ana kesi na mume wake ya kugawana mali, kaloga wee mume amemzidi kete. Anaishia tu kwenda mahakamani mwaka wa 5 na ushee😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waha ni watata balaa, ikishindikana wanatumia ndumba. Kuna mmoja ana kesi na mume wake ya kugawana mali, kaloga wee mume amemzidi kete. Anaishia tu kwenda mahakamani mwaka wa 5 na ushee😂😂😂😂
Nina rafiki yangu muha, na hivi kasoma basi ni mtata balaa. Ndio maana nimecheka sana comment ya mshikaji kuhusu waha.Waha ni watata balaa, ikishindikana wanatumia ndumba. Kuna mmoja ana kesi na mume wake ya kugawana mali, kaloga wee mume amemzidi kete. Anaishia tu kwenda mahakamani mwaka wa 5 na ushee
Database zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Yaan unapewa kibari cha kufunga ndoa ya Pili huku database inasoma wewe ulishafunga ndoa tena monogamy seriously? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy? Serikali ni wazembe kiasi hicho?haikatazi,lakini kama ndoa ya kwanza ilikuwa ni ya mke mmoja kama ya kikatoliki,Sheria ya Ndoa,LMA,1971 inakataza kufunga ndoa nyingine,mpaka hapo ya kwanza itakapokuwa imebatilishwa
Alisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambuiYes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Serikali wakitaka kukufungisha ndoa wanatoa tangazo mwenye pingamizi, usipotokea wanafungishaDatabase zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy? Serikali ni wazembe kiasi hicho?
inategemea facts zinasemaje,lakini wajibu wa mlalamikaji ni ku-prove kwamba ndoa yake ilikuwa hai haijavunjwa kisheria wakati ndoa ya huyo wa pili inafungwa,hivyo ndoa ya pili kuwa batili ,yaani,null and void ab initio,then akisha-prove hilo ndo anaweka maombi(prayers) mbalimbali ikiwemo fidia ya hiyo TZS 100M aliyoombaDatabase zinazotunza kumbukumbu za watu wanaofunga ndoa hazifanyi kazi au? Yaan ufunge ndoa mara ya pili Serikali isijue? Na kibari cha kufunga ndoa mara ya pili upewe? Na ndoa yenyewe ni ya kanisani monogamy?
Ndio maana hujaolewaMbona kadai pesa kiduchu hivyo? Hili ni swala kuharkbiwa hadhi na maisha yake.... Alitakiwa aanzie 0.5bn au hata 1bn .
Ningekuwa mimi ni huyo Kissanga hiyo 0.1bn ningempa bila hata ya kwenda mahakamani.
Sawa nauliza database za vyeti vya ndoa haipo Serikali ishindwe kuona huyu Prof alishafunga ndoa au alibadirisha Jina?Serikali wakitaka kukufungisha ndoa wanatoa tangazo mwenye pingamizi, usipotokea wanafungisha
Na kuthibitisha ugoni kazi yake si ya kitoto unless uwafumanie na ushahidi upo. Prof anaweza jitetea kuwa yes kafunga ndoa lakini hakuna ushahidi kama wameingiliana kimwili. Yeye angefungua kesi ya Prof kufunga ndoa juu ya ndoa. Kama ana ushahidi atapata stahiki yake kulingana na uwezo wa Prof.Wakili anatakaje kesi isikilizwe faragha anaficha nini wakati tutasoma kila kitu kwenye hukumu pindi itakapotoka?😁😁
Kama hataki waandishi si angeyamaliza kwa amani tu nyumbani mara baada ya kupokea madai.
Sasa kufunga ndoa kunawezaje kukaitwa UGONI?? Maana ugoni ni ile hali ya mtu aliyeoa au kuolewa kufumaniwa na mwenza wake, akiwa anafanya ngono na mtu mwingine. Kufunga ndoa tayari imekuwa ni ugoni?? Anyways, labda ana ushahidi kuwa hawa watu wamebanjuana, na vipi wakijitetea kuwa walikuwa wanajichunga wakisubiri mpaka NDOA na hata baada ya ndoa hawajabanjua kwa sababu labda mmoja alikuwa mgonjwa nk?
Unaweza kabisa, na kuna mwamba ameweka kesi humu kuonesha mahakama ilivyoamua alipwe fidia, ila sasa lazima uthibitishe kuwa hao unaowadai fidia wamezagamuana. Kama kwenye kesi iliyowekwa, jamaa amempa mimba kabisa yule demu, anarukaje fidia!! Tofauti na mwamba Profesa hapa, haijawekwa wazi kama kuna mizagamuano zaidi ya kusema kuwa kuna ndoa ilifungwa.
Ugoni uthibitisho wake sio ndoa, bali tendo la ndoa. Kama ishu ilikuwa ni ndoa ya mke mmoja, mke alitakiwa kupinga ndoa ya pili, sio kudai fidia ya ugoni bila kuthibitisha ugoni wenyewe. (Najua ni mapema sana, maana kesi haijaanza kusikilizwa, labda atathibitisha huo ugoni)
Thamani ya mwanaume haishuki boss?Mambo hayapo kienyeji hivyo,kisheria ukimzalisha au ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke mkiachana yeye thamani yake inakuwa imeshuka tofauti na mwanzo kwahio sheria lazima imlinde.
Hapana huwezi funga ndoa bila vithibitisho ya talaka kwa ndoa ya kwanza, sasa km jamaa alifunga ndoa bila uthibitisho wa talaka lawama zote ni kwa Serikali haitunzi kumbukumbu kwenye database za ndoa ili kusudi mtu akitaka kufunga ndoa wanasearch Jina lake je alishawahi kufunga ndoa au la? Je! Km waliachana na mwenzake wana vithibitisho vya talaka? Km vipo ndio anapewa kibari afunge ndoa mpya, kwa hio km aliruhusiwa na Serikali afunge ndoa ya pili huku ndoa ya kwanza ikiwa bado ipo mwenye kulaumiwa hapo ni Serikali kwa kutoa kibari afunge ndoa nyingine wakati ndoa ya kwanza bado ipo, umenielewainategemea facts zinasemaje,lakini wajibu wa mlalamikaji ni ku-prove kwamba ndoa yake ilikuwa hai haijavunjwa kisheria wakati ndoa ya huyo wa pili inafungwa,hivyo ndoa ya pili kuwa batili ,yaani,null and void ab initio
Wewe vipi? Misikitini, makanisani, bomani wote ni mawakala wa Serikali wale. Vile vyeti vya Serikali.Alisema wapi ndoa ya mke mmoja? Kumbuka mavyeti ya kanisani na msikitini serikali haizitambui
Haelewi kitu huyo muacheWewe vipi? Misikitini, makanisani, bomani wote ni mawakala wa Serikali wale. Vile vyeti vya Serikali.
Kaka usinibishie nilifatilia bima ya afya ya mke wa broo wakakata cheti cha kidini wanataka cha serikaliWewe vipi? Misikitini, makanisani, bomani wote ni mawakala wa Serikali wale. Vile vyeti vya Serikali.
Wewe hujamuelewa amemaanisha nini amekwambia vyeti vinavyotolewa kanisani, misikitini, bomani vinatolewa na Serikali na vinatambuliwa na Serikali km vyeti halali vya Ndoa au alifoji cheti?Kaka usinibishie nilifatilia bima ya afya ya mke wa broo wakakata cheti cha kidini wanataka cha serikali
Hata hajiulizi inakuwaje yale mavyeti ya ndoa yanafanana nchi nzima iwe umefungia bomani, kanisani, msikitikini, Hindu, Buddha, n.k. Player ni Serikali na tozo inalipwa.Haelewi kitu huyo muache
Kama alifunga ndoa Chachi na hakupeleka taarifa serikalini, serikali haiwezi kuwa na taarifa ya hiyo ndoa, ukienda kanisani unaikuta Ila serikalini huikutiSawa nauliza database za vyeti vya ndoa haipo Serikali ishindwe kuona huyu Prof alishafunga ndoa au alibadirisha Jina?
Nadhani unachanganya huruma na legal status ya ndoa yenyewe,tendo pekee la kufunga ndoa halitoi uhalali kwa ndoa husika bali assumptions za legitimate marriage kama zina exist ndo zinaipa uhalali ndoa ya pili,bila kujali huyo muolewaji alikuwa anajua au la,hili suala ni suala la kisheria zaidi na ushahidi wala siyo la hisia,Hata ndoa ikifungwa kanisani,baadae ikagundulika kuwa vigezo vya ndao halali havikuwepo,hiyo KISHERIA ni sawa na kusema NDOA HIYO ILIKUWA BATILI TOKA MWANZO,NULL AND VOID AB INITIOHapana huwezi funga ndoa bila vithibitisho ya talaka kwa ndoa ya kwanza, sasa km jamaa alifunga ndoa bila uthibitisho wa talaka lawama zote ni kwa Serikali haitunzi kumbukumbu kwenye database za ndoa ili kusudi mtu alitaka kufunga ndoa wanasearch Jina lake je alishawahi kufunga ndoa au la? Je! Km waliachana na mwenzake wana vithibitisho vya talaka? Km vipo ndio anapewa kibari afunge ndoa mpya, kwa hio km aliruhusiwa na Serikali afunge ndoa ya pili huku ndoa ya kwanza ikiwa bado ipo mwenye kulaumiwa hapo ni Serikali kwa kutoa kibari afunge ndoa nyingine wakati ndoa ya kwanza bado ipo, umenielewa
Ndoa hufungifungi tu lazima ukaguliwe ili isije ikaleta sintofahamu uko mbele, sasa huyu Prof alipofunga ndoa ya pili alitumia Jina lipi washindwe kuona km huyu anataka kufunga ndoa tena Ila alishafunga ndoa na haijavunjwa?
Hajaongeza mke hapo
Cheti cha ndoa ni cha Serikali kaka! Dini hazinaga hivyo vitu! Wao ni mawakala wa Serikali kufungisha ndoa tu.Kaka usinibishie nilifatilia bima ya afya ya mke wa broo wakakata cheti cha kidini wanataka cha serikali