Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

hata kumpa mimba mke wa mtu ilihali ukijua ni mke wa ndoa fidia yake utalipa hadi ukoo wako wote.. ujifunze shdria ni sheria na hii case itawafumbuwa macho wengi ambao ndoa zao wamevamiwa na kuelea watoto za wanaume wengwapima ine
wapima DNA watapiga hela kuliko ma-afisa wa TRA bandarini
 
Mi nilivoelewa hapo MATRIDA anataka pesa,penzi haitaji,apewe pesa na anatembea.Watu wametumwa pesa bwana
1. Kiufupi, Matilda ameshakua Milionea kupitia Prof. Manyaunyau, baada ya kulipwa hiyo 100m TZS fidia ya ugoni.
2. Atafungua kesi nyingine ya TALAKA, akipata atadai kugawana mali, Hapo kwa mara nyingine Matilda atasimamisha mashabiki uwanjani, Prof. atajuta kumjua Matilda,
3. Bank Teller/Mchaga lazima anywee maana process sio chini ya miaka 4.
NB: kwa hili PhD za SUA zimeingia ukungu.
 
hata kumpa mimba mke wa mtu ilihali ukijua ni mke wa ndoa fidia yake utalipa hadi ukoo wako wote.. ujifunze shdria ni sheria na hii case itawafumbuwa macho wengi ambao ndoa zao wamevamiwa na kuelea watoto za wanaume wengine
Umeenda kwny issue nyingine, kwa case hii ya Prof na Bi.Makundi wanaweza wakakubali walifunga ndoa na hata kama ndoa ina miaka mitano wanaweza kusema hawajawahi kushiriki tendo la ndoa wala Uzinzi

Mahakamani kinachohitajika ni Ushahidi, labda kama Matrida ana video au picha inayowaonesha wakifanya uzinzi, au labda Prof ampe Bi Makundi mimba na DNA ziprove kuwa mtoto ni wake

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
 
wapima DNA watapiga hela kuliko ma-afisa wa TRA bandarini
kabisa..... Yaani hapa naona mwanya mkubwa wa wake za watu kuuliwa au kutumiwa .. Hii sheria ya ndoa wengi walikuwa hawajui yaliyomo.. Dada Matrida japo anabezwa humu lakini amefumbua macho wengi mno..mfano mke akajua mume wake amezaaa na mwanamke fulani case yake haina tofauti na hii ya ndoa kwa kuwa kama alihitaji mtoto mke bado ana kizazi cha kumpa mtoto..

the same ukijua mwanaume fulani amemtia mimba mke wako ilihali akijua ni mke wako wa ndoa..

At least hi case itatoa precedent klubwa sana kwa wale wanaonewa..nashangaa hawa wanaocomment kwa kufuata mihemko ya makabila
 
1. Kiufupi, Matilda ameshakua Milionea kupitia Prof. Manyaunyau, baada ya kulipwa hiyo 100m TZS fidia ya ugoni.
2. Atafungua kesi nyingine ya TALAKA, akipata atadai kugawana mali, Hapo kwa mara nyingine Matilda atasimamisha mashabiki uwanjani, Prof. atajuta kumjua Matilda,
3. Bank Teller/Mchaga lazima anywee maana process sio chini ya miaka 4
Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?

Wenyewe wana msemo wao mwanaume hana mwanamke mmoja, na mwanaume hafumaniwi, Matrida umebana mbunya bank teller kaachia mbunya sasa unataka asitombwe na Prof kisa nini ilihali mnajua mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja?
 
Umeenda kwny issue nyingine, kwa case hii ya Prof na Bi.Makundi wanaweza wakakubali walifunga ndoa na hata kama ndoa ina miaka mitano wanaweza kusema hawajawahi kushiriki tendo la ndoa wala Uzinzi

Mahakamani kinachohitajika ni Ushahidi, labda kama Matrida ana video au picha inayowaonesha wakifanya uzinzi, au labda Prof ampe Bi Makundi mimba na DNA ziprove kuwa mtoto ni wake

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
kwa hiyo Bi Makundi yeye amekubali kuolewa na Prof lengo lake likiwa nini kukata mauno na siyo kuishi kindoa kama mke na mume? Acha kupotosha hii case imekuja kufumbua macho wengi sana na uchepukaji utakuwa wa kimakini sana
 
kabisa..... Yaani hapa naona mwanya mkubwa wa wake za watu kuuliwa au kutumiwa .. Hii sheria ya ndoa wengi walikuwa hawajui yaliyomo.. Dada Matrida japo anabezwa humu lakini amefumbua macho wengi mno..mfano mke akajua mume wake amezaaa na mwanamke fulani case yake haina tofauti na hii ya ndoa kwa kuwa kama alihitaji mtoto mke bado ana kizazi cha kumpa mtoto..

the same ukijua mwanaume fulani amemtia mimba mke wako ilihali akijua ni mke wako wa ndoa..

At least hi case itatoa precedent klubwa sana kwa wale wanaonewa..nashangaa hawa wanaocomment kwa kufuata mihemko ya makabila
Kumbuka huko mahakamani nako wakute wenye maadili ya kazi (vinginevyo) Matilda anaweza kuchelewa kupata haki zake.
 
Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?

Wenyewe wana msemo wao mwanaume hana mwanamke mmoja, na mwanaume hafumaniwi, Matrida umebana mbunya bank teller kaachia mbunya sasa unataka asitombwe na Prof kisa nini ilihali mnajua mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja?
Naona umejipa cheo cha hakimu tayari. Tulia uone kazi. Huyo Prof PhD yake ya wapi?
 
b
Kumbuka huko mahakamani nako wakute wenye maadili ya kazi (vinginevyo) Matilda anaweza kuchelewa kupata haki zake.
Mkuuu.. Bi Matilda siyo kilaza TNGP ipo nyuma yake kumlea mwanaume ana degree moja hadi kuwa Prof halafu anakuja kuzuzuliwa na mtu anayeangalia transaction zako za benk ni upuuzi mkubwa kuna jambo la kujifunza.. ani Bi Matilda kisaa kuzeeka ndiyo huyu mmarangu achukuwe advantage I stand na Bi Matilda
 
B
Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?

Wenyewe wana msemo wao mwanaume hana mwanamke mmoja, na mwanaume hafumaniwi, Matrida umebana mbunya bank teller kaachia mbunya sasa unataka asitombwe na Prof kisa nini ilihali mnajua mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja?
Kilichomponza Bank teller ni kutawanya miguu bila kuona divorce papers. Therefore, yeye na Maunyaunyau wamefanya uzinzi.
 
Back
Top Bottom