Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kumpa mimba mke wa mtu ilihali ukijua ni mke wa ndoa fidia yake utalipa hadi ukoo wako wote.. ujifunze shdria ni sheria na hii case itawafumbuwa macho wengi ambao ndoa zao wamevamiwa na kuelea watoto za wanaume wengineWapi amezini? Unaweza kuweka ushahidi wa uzinzi wake?
Lakini atakuwa amepata kifuta machozi. Miaka 10 ya kuchakatwa halafu aambulie p
Mi nilivoelewa hapo MATRIDA anataka pesa,penzi haitaji,apewe pesa na anatembea.Watu wametumwa pesa bwanaatupu?
wapima DNA watapiga hela kuliko ma-afisa wa TRA bandarinihata kumpa mimba mke wa mtu ilihali ukijua ni mke wa ndoa fidia yake utalipa hadi ukoo wako wote.. ujifunze shdria ni sheria na hii case itawafumbuwa macho wengi ambao ndoa zao wamevamiwa na kuelea watoto za wanaume wengwapima ine
1. Kiufupi, Matilda ameshakua Milionea kupitia Prof. Manyaunyau, baada ya kulipwa hiyo 100m TZS fidia ya ugoni.Mi nilivoelewa hapo MATRIDA anataka pesa,penzi haitaji,apewe pesa na anatembea.Watu wametumwa pesa bwana
Umeenda kwny issue nyingine, kwa case hii ya Prof na Bi.Makundi wanaweza wakakubali walifunga ndoa na hata kama ndoa ina miaka mitano wanaweza kusema hawajawahi kushiriki tendo la ndoa wala Uzinzihata kumpa mimba mke wa mtu ilihali ukijua ni mke wa ndoa fidia yake utalipa hadi ukoo wako wote.. ujifunze shdria ni sheria na hii case itawafumbuwa macho wengi ambao ndoa zao wamevamiwa na kuelea watoto za wanaume wengine
kabisa..... Yaani hapa naona mwanya mkubwa wa wake za watu kuuliwa au kutumiwa .. Hii sheria ya ndoa wengi walikuwa hawajui yaliyomo.. Dada Matrida japo anabezwa humu lakini amefumbua macho wengi mno..mfano mke akajua mume wake amezaaa na mwanamke fulani case yake haina tofauti na hii ya ndoa kwa kuwa kama alihitaji mtoto mke bado ana kizazi cha kumpa mtoto..wapima DNA watapiga hela kuliko ma-afisa wa TRA bandarini
Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?1. Kiufupi, Matilda ameshakua Milionea kupitia Prof. Manyaunyau, baada ya kulipwa hiyo 100m TZS fidia ya ugoni.
2. Atafungua kesi nyingine ya TALAKA, akipata atadai kugawana mali, Hapo kwa mara nyingine Matilda atasimamisha mashabiki uwanjani, Prof. atajuta kumjua Matilda,
3. Bank Teller/Mchaga lazima anywee maana process sio chini ya miaka 4
kwa hiyo Bi Makundi yeye amekubali kuolewa na Prof lengo lake likiwa nini kukata mauno na siyo kuishi kindoa kama mke na mume? Acha kupotosha hii case imekuja kufumbua macho wengi sana na uchepukaji utakuwa wa kimakini sanaUmeenda kwny issue nyingine, kwa case hii ya Prof na Bi.Makundi wanaweza wakakubali walifunga ndoa na hata kama ndoa ina miaka mitano wanaweza kusema hawajawahi kushiriki tendo la ndoa wala Uzinzi
Mahakamani kinachohitajika ni Ushahidi, labda kama Matrida ana video au picha inayowaonesha wakifanya uzinzi, au labda Prof ampe Bi Makundi mimba na DNA ziprove kuwa mtoto ni wake
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Kumbuka huko mahakamani nako wakute wenye maadili ya kazi (vinginevyo) Matilda anaweza kuchelewa kupata haki zake.kabisa..... Yaani hapa naona mwanya mkubwa wa wake za watu kuuliwa au kutumiwa .. Hii sheria ya ndoa wengi walikuwa hawajui yaliyomo.. Dada Matrida japo anabezwa humu lakini amefumbua macho wengi mno..mfano mke akajua mume wake amezaaa na mwanamke fulani case yake haina tofauti na hii ya ndoa kwa kuwa kama alihitaji mtoto mke bado ana kizazi cha kumpa mtoto..
the same ukijua mwanaume fulani amemtia mimba mke wako ilihali akijua ni mke wako wa ndoa..
At least hi case itatoa precedent klubwa sana kwa wale wanaonewa..nashangaa hawa wanaocomment kwa kufuata mihemko ya makabila
Naona umejipa cheo cha hakimu tayari. Tulia uone kazi. Huyo Prof PhD yake ya wapi?Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?
Wenyewe wana msemo wao mwanaume hana mwanamke mmoja, na mwanaume hafumaniwi, Matrida umebana mbunya bank teller kaachia mbunya sasa unataka asitombwe na Prof kisa nini ilihali mnajua mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja?
Hapati haki hata asimamie kesi akiwa uchi, aombe talaka tu basi km hakupewa talaka aombe wagawane mali asepeKumbuka huko mahakamani nako wakute wenye maadili ya kazi (vinginevyo) Matilda anaweza kuchelewa kupata haki zake.
Mkuuu.. Bi Matilda siyo kilaza TNGP ipo nyuma yake kumlea mwanaume ana degree moja hadi kuwa Prof halafu anakuja kuzuzuliwa na mtu anayeangalia transaction zako za benk ni upuuzi mkubwa kuna jambo la kujifunza.. ani Bi Matilda kisaa kuzeeka ndiyo huyu mmarangu achukuwe advantage I stand na Bi MatildaKumbuka huko mahakamani nako wakute wenye maadili ya kazi (vinginevyo) Matilda anaweza kuchelewa kupata haki zake.
Kwenye mahamakama za wanyonge. Malipo ni kuku mweupe tu.na wakishindwana kisheria shughuli itahamia Kibondo 🤣🤣🤣
Kilichomponza Bank teller ni kutawanya miguu bila kuona divorce papers. Therefore, yeye na Maunyaunyau wamefanya uzinzi.Hio Million 100 hapati ng'o labda akabadirishe kesi Ila kwa kikesi hicho hapati million 100, hivi mnachukulia poa poa? Fidia imezidi sana 100,000 upewe tu million 100 kirahisi rahisi kisa umenifuma namtia mwanamke mwingine au umenifuma nimeoa mke mwingine?
Wenyewe wana msemo wao mwanaume hana mwanamke mmoja, na mwanaume hafumaniwi, Matrida umebana mbunya bank teller kaachia mbunya sasa unataka asitombwe na Prof kisa nini ilihali mnajua mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja?
Hakuna kesi hapo, huyo mama waliomwambia afungue kesi kisa ugoni wamemuingiza choo cha kikeNaona umejipa cheo cha hakimu tayari. Tulia uone kazi. Huyo Prof PhD yake ya wapi?
Potential polygamy ndo.ndoa gani iyo[emoji848]Yes... kwenye cheti cha ndoa, unasema ndoa yako ni ya aina gani; monogamy, polygamy au potential polygamy. Sasa kama ulisema ndoa yako ni ya mke na mme mmoja; ukiongeza mke bila kuvunja ndoa ya kwanza ni kesi hiyo
Mkuu tulia hii ngoma Matilda siyo kilaza kama mnavyomnanga.... Huyu Prof soon atakuwa kichaaa kwa msongo wa mawazo never undermine power of marriageHapati haki hata asimamie kesi akiwa uchi, aombe talaka tu basi km hakupewa talaka aombe wagawane mali asepe
Mwanaume km mwanaume lazima uwe na wanawake wengi, au wewe hua unaenda mwezini?B
Kilichomponza Bank teller ni kutawanya miguu bila kuona divorce papers. Therefore, yeye na Maunyaunyau wamefanya uzinzi.
Hakuna kesi hapo kashafeli labda akawange, hatoboi hio kesi kakosea kuiwasilishaMkuu tulia hii ngoma Matilda siyo kilaza kama mnavyomnanga.... Huyu Prof soon atakuwa kichaaa kwa msongo wa mawazo never undermine power of marriage