Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi kusikilizwa faragha na bila waandishi wa habari ni uchaguzi wa mtuhumiwa. Kesi haina maslahi kwa jamii na pia kulinda faragha za wanandoa na familia zaoWakili anatakaje kesi isikilizwe faragha anaficha nini wakati tutasoma kila kitu kwenye hukumu pindi itakapotoka....
Labda watakuwa walijiandaa kulipa hiyo fidia ili waendelee kunyanduana. Lakini angeweza kuachana na ndoa au pengine wangefunga ndoa ya siri haya yote yasingetokea. Wangeishi tu kwani mababu zetu walipewa karatasi za ndoa?Biashara ya fumanizi imechangamka sana hasa ukikuta wagoni wana wadhifa. 🤣🤣🤣 Mmoja benki mmoja profesa!
Mwishowe waanze kurogana... haya mambo bana!!!Matilda haachiki kizembe.
Tatizo lao wachaga wee hujui tu! wanakula tunda! huku wana chati na Manka wa kijijini Machame!.........akija stuka anaulisa....umemaliza baba eeee!....basi nenda kafunge mbusiii na mtori......Halafu mnasema wachaga hawajui mapenzi, hebu kwendreeni huko
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ili kuondoa kadhia yote hio ni kuhama nyumba tu kimya kimya na kwends kuishi na pini ya CRDB kwenye nyumba ingine uliojenga kinyele.Kesi kusikilizwa faragha na bila waandishi wa habari ni uchaguzi wa mtuhumiwa. Kesi haina maslahi kwa jamii na pia kulinda faragha za wanandoa na familia zao...
Ugoni anashitakiwa mwiziWote wawili,
Ndiyo anaambaa Kaka...Huyo cigareti anang'ang'ania nini? Kama huna mvuto. Ambaa
asikudanganye mtu profesa yulee ni mkurya na ndoa ilifungwa kimira huko Tarime! na professor hajamtariki mkewe! yeye huyo atabaki kuwa mke mkubwaaaa tu! ...arudi nyumbani akalee watoto!Hapo kwenye shitaka la talaka ni pasu kwa pasu, matrida atakua new boss lady in town
Hakika mkuu. Ni kuondoka kimya.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ili kuondoa kadhia yote hio ni kuhama nyumba tu kimya kimya na kwends kuishi na pini ya CRDB kwenye nyumba ingine uliojenga kinyele.
Mi hadi yakinikuta hayo we utakuwa ushakufa 🤣🤣🤣 kwa stressYamekukuta sio Kwa povu hili 💉💉💉💉
Wanawake sahv wakifika 25 washachoka [emoji1]Miaka 25 kama mwanaume alikuwa na umri sawa na wa mkewe mfano miaka 30 leo wako na miaka 55 mwanaume bado anadai mwanake tayali kaisha zeeka ambao ajaoa oene wanawake anao wazidi kuanzia miaka 7 kwenda mbele
Anakosa kwa sababu kaoa mke mwingine ilhali hajatalikiana na mkewe wa kwanza.Soma habari yote. Profesa kaoa mke mwingine. Lkn ex wake ndiyo anadai hajaachika
Ile ya kusubiri pension ni ipi ?Wanaume mkae kwa kutulia, hii mbinu mpya ya kulipwa fidia hii ni zaidi ya ile ya kusubiri pensheni[emoji1787]
We janjajanja ngoja siku uingie kwenye 18 [emoji1] (joking)Mi hadi yakinikuta hayo we utakuwa ushakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa stress
Kuna jamaa humu wana ka msemo kao kwamba 'mwanaume kataa kabisa ndoa' sasa sijui ndo kutokana na ishu kama hizi.ndo maana mie sitaki ndoa nikukubaliana tuu baaasi
Tatizo ile ya kwanza alifunga ya mke mmoja. Yeye angetalakiana na ndipo angefunga hii mpya.Huo ugoni unatokea wapi wakati Prof Kafunga ndoa nyingine halali? Kwani kuna SHERIA inamzuia mtu kuwa na wake wawili nchi hii??
Ukifunga ya pili ile ya kwanza inakuwa valid sawasawa na hii ya pili ambayo tayari inakuwa imefungwa, ndo maana ndoa zinatangazwa ili kama kuna aliye na pingamizi aweke, ikishafungwa inakuwa notolee hiyo.....Tatizo ile ya kwanza alifunga ya mke mmoja. Yeye angetalakiana na ndipo angefunga hii mpya.