Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

Miaka 25 kama mwanaume alikuwa na umri sawa na wa mkewe mfano miaka 30 leo wako na miaka 55 mwanaume bado anadai mwanake tayali kaisha zeeka ambao ajaoa oene wanawake anao wazidi kuanzia miaka 7 kwenda mbele
 
Wakili anatakaje kesi isikilizwe faragha anaficha nini wakati tutasoma kila kitu kwenye hukumu pindi itakapotoka....
Kesi kusikilizwa faragha na bila waandishi wa habari ni uchaguzi wa mtuhumiwa. Kesi haina maslahi kwa jamii na pia kulinda faragha za wanandoa na familia zao
Biashara ya fumanizi imechangamka sana hasa ukikuta wagoni wana wadhifa. 🤣🤣🤣 Mmoja benki mmoja profesa!
Labda watakuwa walijiandaa kulipa hiyo fidia ili waendelee kunyanduana. Lakini angeweza kuachana na ndoa au pengine wangefunga ndoa ya siri haya yote yasingetokea. Wangeishi tu kwani mababu zetu walipewa karatasi za ndoa?
 
Halafu mnasema wachaga hawajui mapenzi, hebu kwendreeni huko
Tatizo lao wachaga wee hujui tu! wanakula tunda! huku wana chati na Manka wa kijijini Machame!.........akija stuka anaulisa....umemaliza baba eeee!....basi nenda kafunge mbusiii na mtori......

Mademu wa kichagaaa??? sina hamu!
 
Kesi kusikilizwa faragha na bila waandishi wa habari ni uchaguzi wa mtuhumiwa. Kesi haina maslahi kwa jamii na pia kulinda faragha za wanandoa na familia zao...
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ili kuondoa kadhia yote hio ni kuhama nyumba tu kimya kimya na kwends kuishi na pini ya CRDB kwenye nyumba ingine uliojenga kinyele.
 
Hapo kwenye shitaka la talaka ni pasu kwa pasu, matrida atakua new boss lady in town
asikudanganye mtu profesa yulee ni mkurya na ndoa ilifungwa kimira huko Tarime! na professor hajamtariki mkewe! yeye huyo atabaki kuwa mke mkubwaaaa tu! ...arudi nyumbani akalee watoto!

huo ni utovu wa nidhamuu wa mke mkubwa kwani si anapata haki yake shida iko wapiii!!...amekiuka mila za kikurya za wake mingi akirudi ajichape mwenyewe kabla hajaguswaaa!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ili kuondoa kadhia yote hio ni kuhama nyumba tu kimya kimya na kwends kuishi na pini ya CRDB kwenye nyumba ingine uliojenga kinyele.
Hakika mkuu. Ni kuondoka kimya.


Hapo mwanamama lazima awapige.

Unajua wanawake huolewa kwenye ndoa nyingi. Ndio maana cheti kimeandikwa ndoa ni ya Mke Mmoja au Wengi. Alichagua mke Mmoja.

Sasa huyo alioelewa kwa makubaliano ya mke mmoja. Ilibidi arekebishe kwanza mkataba wa mke mmoja ndiposa aoe mke wa pili.

Marekebisho ni kwamba waende mahakamani au kwa kamishina wa viapo akaape ya kwamba wanavunja makubaliano ya kuishi katika ndoa au pengine wanavunja makubaliano ya ndoa ya mke mmoja na kuwa ndoa ya wake wengi.

Mpaka hapo amekiuka makubaliano na kumsababishia usumbufu na msongo wa mawazo mke wa kwanza.
 
Miaka 25 kama mwanaume alikuwa na umri sawa na wa mkewe mfano miaka 30 leo wako na miaka 55 mwanaume bado anadai mwanake tayali kaisha zeeka ambao ajaoa oene wanawake anao wazidi kuanzia miaka 7 kwenda mbele
Wanawake sahv wakifika 25 washachoka [emoji1]

Ova
 
Mi hadi yakinikuta hayo we utakuwa ushakufa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa stress
We janjajanja ngoja siku uingie kwenye 18 [emoji1] (joking)

Kuna masheria mengi tu mbona
Hata ukimuahidi kumuoa mtu,kama mlianza taratibu za mwanzo wote za kutaka fungal ndoa,mmoja kati yao akazingua ,unaweza mfungulia kesi pia ....sheria zipo hizo

Ova
 
Back
Top Bottom