Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Swala la kuvunja au kutovunja mimi sijui. Mimi nimemjibu aliyesema kwakua kaomba msamaha basi asamehewe kwakua Mungu anasamehe.Kwani amevunja Sheria gani ili tuwe na uelewa wa Pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala la kuvunja au kutovunja mimi sijui. Mimi nimemjibu aliyesema kwakua kaomba msamaha basi asamehewe kwakua Mungu anasamehe.Kwani amevunja Sheria gani ili tuwe na uelewa wa Pamoja
Tokea lini Serikali imekuwa na Dini?
Kwani kakashifu dini ipi?Kama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?
Noma Sana.
Serikali haina dininndio maana hairuhusu mtu kukashifu imani za watu wengine, kila mtu aamini anachokitaka, kama sele anaamini ganja basi ailaumu ganja sio Mungu, Mungu hadhihakiwi!Kama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?
Ila watu wake wana dini.... anashikiliwa ili kumlinda na hasira za watu kwa kukashifu MuumbaTokea lini Serikali imekuwa na Dini?
Alishaomba radhi asee,tena ameomba msamaha vizuri sana.
Amesema alipokea taarifa ya kifo cha JPM kwa mshtuko akachanganyikiwa na kuanza kuropoko.
Kama Mungu anasemehe sisi wanadamu ni wakina nani tusisamee?
Msanii mkongwe wa muziki, Selemani Msindi maarufu Afande Sele, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mjini Morogoro kwa mahojiano baada ya video yake iliyokuwa na maudhui ya kumlaumu Mwenyezi Mungu kwa kile alichodai hakutenda haki kuruhusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli.
Hivi karibuni afande Sele alisikika akimlaumu Mungu kuruhisu Magufuli afe.
Mkuu wa Polisi Morogoro kasema kesho ataongea kinagaubaka sababu za kumkamata na kumlaza Korokoroni.
Zaidi soma: Afande Sele( Seleman Msindi), asomewa dua ya kufa kabla ya Ramadhan ya 2021 kufika, atuhumiwa kumkufuru Mungu
View attachment 1732037
It's all an act. Sele hakujiropokea tu. Alitumwa kuongea vile
nani alimtuma?It's all an act. Sele hakujiropokea tu. Alitumwa kuongea vile.
Ila watu wake wana dini!!!Tokea lini Serikali imekuwa na Dini?
Umeushirikisha ubongo wake kweliKama haina dini basi iruhusu watu kukashifu imani ya wengine?