Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

ila mabango hata mimi wananikera sana..eti unakuta bango mjini katikati ya miji inabandikwa ..amejenga shule(x), amejenga madaraja(x), barabara (x)......, hizo gharama za kuyatengeneza na kuyabandika si ghali sana?...nawaza kwa sauti sana..hivi ccm wao wanawazaga vitu gani kwenye vichwa vyao??..ina maana akili zao wao wameziweka rikizo wanatumia akili za mihemko tu muda wote?
 
asante sana
 
Kuhusu kumjua Mungu ni kweli namjua na namheshimu mno , ni kweli nchi hii ni masikini sana , lakini umasikini wake umeletwa na CCM , na ndio maana tunapambana kuing'oa , na tuna hakika kwa msaada wa Mungu inaondoka 2025 .
Mungu ameiacha CCM kwa ziada ya miaka 50. Why? Mungu bado anatuweka Afrika kwenye wakati mgumu kuliko wenzetu. Why?
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Ndo maana yupo hai na funza zinamla dikteta
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Matusi ya nini sasa ndugu? Mbons una mambo ya kipumbavu sana?!
 
akiwa Mjini Morogoro amepokea ujumbe ulioletwa na Askari(mapolisi) wastaafu wa 2020 wakidai mafao yao na Pesa za kusafiria kurudi makwao
Pia Mh @TunduALissu amesema Hali ya kucheleweshwa mafao kwa wastaafu ni kwa wafanya Kazi wote

: "Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?" Mh. Tundu Lissu muda huu Morogoro.

: #Maridhiano Maanake ni makubaliano ya watu wanaopendana sasa wanaafikiana kukubaliana

Sasa ni mwaka tokea tumeanza kitu kinachoitwa maridhiano hoja zetu tuliziwasilisha kwa njia ya maandishi lakini hakuna hata hoja moja imejibiwa hadi ninapoongea hapa .

#Mh @TunduALissu Akiwa Morogoro mjini.

Lissu : Mapendekezo tuliyopeleka kwa maandishi sasa ni mwaka alijajibiwa hata moja mpaka leo

Ila tunasikia sikia tu #KatibaMpya , ila tulichopendekeza hakuna kitu kimefanyiwa kazi, ila tuaambiwa tulieni tu, tunaona tu mambo yanaendelea bila mapendekezo yetu ya mwaka Jana.

Tumepeleka mapendekezo, kitu gani kifanyika, kifanyike lini na kifanyike na nani kupitia Maridhiano , ni mwaka sasa mpaka leo hakuna kitu kimejibiwa na tunakaribia kuingia kwenye chaguzi na sheria zile zile

Maridhiano ni jambo zuri ila tunaambiwa tu tulieni !! Sio sawa.

: Nimepita kwenye around about ya Morogoro nimeona Bango kubwa Lina Picha ya Samia na limeandikwa "Lipa Kodi Tujenge Nchi kwa Pamoja" Sasa hii ni wajenge Uchumi au Lipa kodi sisi tule, yote kwa yote haya mabango ni Campaign 2025 Ila tujiulize kwa Katiba ipi? Mh @TunduALissu

"Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Mimi kwa Sasa wananiita Chiba walionipiga risasi waponimepatanishwa nao? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?",walioporwa ardhi zao huko Mbarali, loliondo, Morogoro,mabwepande,wamepatanishwa na Nani?

Kupatanisha Ni kutenda haki na siyo kubandika mabango,,hapa Morogoro hamjapendelewa kuwa na mabango,nchi nzima Kuna mabango,Arusha kila mita 20 Kuna bango limewekwa na picha ya MH MBOWE na Mimi,wakati mwaka Jana tu walimuita gaidi,Leo siyo gaidi amekuwa mpatanishi SAA ngapi ?,tusidanganyane,kila mtu apige kelele,na nyie mashehe na wachungaji na maaskofu pigeni kelele,ongeeni haki na siyo tu kuhubiri pia mhoji vitu Kama hivi.

Mh. Tundu Lissu Leo Morogoro.
 
Bila ya huo "mpatanisho" Serikali hii bora ya awamu ya 6 ingemlipa stahiki zake na mamilioni yale ya kibunge.....Lissu mropokaji tu[emoji1787]
 
Reactions: Tui
asante sana
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Mtu ambaye watoto wake ni raia wa EU.....
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…