Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

Umewahi endesha kipande cha chalinze mlandizi?
Kuna wakati nilipita ile barabara kifo kiko mbele maana kuna sehemu zimekatwa, ili kutetea tairi isipasuke unaweza hama muda wowote.... Mara vuuup mende za kokoto kutoka Msata hii hapa huponi labda uingie vichakani
 
Tuangalie sheria za kuwadhibiti hawa wapumbavu watatumaliza.

Mengine ni ubishi tu yaani nani mtemi barabarani...ni ushenzi tu wa hawa madereva.

Pia wapimwe IQ, ulevi kwenye damu nk.
Usikariri kila ajari huhusisha high speed
 
Hii Ahmeed (basi) alinunua kwa Kisbo,kwa wale wanaojua enzi za Kisbo nadhani ni mashuhuda,lakini pia hili basi ni mara nyingi sana amekua akichochora(japo ilikua haiui)...wanakimbia sana,pamoja na uzembe wa mwenye roli lakini hawa Ahmeed ilikua ni suala la muda tu.
 
Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
 
Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
Kuwa Mbeya saa 10 wala siyo issue kubwa na haiwezi kuwa sababu ya ajali. Hata Mimi hiyo ndo gari niliyokuwa natumia Mbeya - Tanga. Lakini Mara nyingi ni Kwa safari za Mbeya - Dar natumia AMAN ambalo linafika Morogoro saa 9 mchana.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu
 
...fikiria kwamba jana yake usiku kuna alimpigia simu mumewe/mkewe kwamba anakuja kesho yake...lakin Leo ni Maiti! Inasikitisha sana...
 
Lakini wanasema chanzo cha ajali on dereva wa Lori kutaka kuikwepa Bajaj?
 
Tuangalie sheria za kuwadhibiti hawa wapumbavu watatumaliza.

Mengine ni ubishi tu yaani nani mtemi barabarani...ni ushenzi tu wa hawa madereva.

Pia wapimwe IQ, ulevi kwenye damu nk.
Hakuna cha sheria, attitude ya Watanzania ni mbaya sana,akijitokeza mtu kumwambia dereva yuko speed apunguze watu wanaguna na wanamgeukia kumuona ni adui.

Pili tuliambiwa kuna vidhiniti mwendo vyenye alarm sijui vimeishia wapi na mwisho kulikuwa na namba za maofisa wakuu wa polisi kila bus lakini saizi sizioni.
 
Hii barabara inahitaji umakini. Reckless driving ipo juu sana hasa mabasi.
Sio tuu umakini,Tzn hii tuna viongozi wajinga Sana wanathamini pesa kuliko gharama.

Hiyo ndio barabara kuu Tzn yenye traffick kubwa lakini cha ajabu ni single carriage,we drive on opposite direction.

Serikali iache upuuzi, barabara hiyo yote kutoka Dar hadi Tunduma ijengwe kwa dual carriage with multiple lanes kutegemea maeneo.
 
Yote ifanyiwe dualing.
 
Tusiweke maneno Wala mbwembwe nyingi kichwa Cha Habari chajieEza , magari Sasa kutoka dar kwenda dodoma yanatumia masaa 6.5 tofauti na magufuli masaa 8, ukiweka na factor ya foleni.

Okay nchi imefunguliwa
...Ukute hapo madereva wote wawili walikuwa wangu wangu ndio maana wakashindwa hata kujiokoa na kuwaokoa wengine kwa hata kupeleka gari porini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…