HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Akili za kimasikini hizoWenye mikataba na kizimu wameshika madaraka ,kafara za ajali Tena zimeanza...
Tulisha sahau hzi Mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kimasikini hizoWenye mikataba na kizimu wameshika madaraka ,kafara za ajali Tena zimeanza...
Tulisha sahau hzi Mambo.
Kuna wakati nilipita ile barabara kifo kiko mbele maana kuna sehemu zimekatwa, ili kutetea tairi isipasuke unaweza hama muda wowote.... Mara vuuup mende za kokoto kutoka Msata hii hapa huponi labda uingie vichakaniUmewahi endesha kipande cha chalinze mlandizi?
Usikariri kila ajari huhusisha high speedTuangalie sheria za kuwadhibiti hawa wapumbavu watatumaliza.
Mengine ni ubishi tu yaani nani mtemi barabarani...ni ushenzi tu wa hawa madereva.
Pia wapimwe IQ, ulevi kwenye damu nk.
Kuwa Mbeya saa 10 wala siyo issue kubwa na haiwezi kuwa sababu ya ajali. Hata Mimi hiyo ndo gari niliyokuwa natumia Mbeya - Tanga. Lakini Mara nyingi ni Kwa safari za Mbeya - Dar natumia AMAN ambalo linafika Morogoro saa 9 mchana.Ahmed linaenda jamn. Imagine saa kumi liko morogoro akati lenzake mbeya city linaingia moro kwenye kumi na moja ivi. Naumia sana koz mbeya to tanga ndo trip zangu, na ahmed ndo gari langu
Sawa mkuuKuwa Mbeya saa 10 wala siyo issue kubwa na haiwezi kuwa sababu ya ajali. Hata Mimi hiyo ndo gari niliyokuwa natumia Mbeya - Tanga. Lakini Mara nyingi ni Kwa safari za Mbeya - Dar natumia AMAN ambalo linafika Morogoro saa 9 mchana.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
...fikiria kwamba jana yake usiku kuna alimpigia simu mumewe/mkewe kwamba anakuja kesho yake...lakin Leo ni Maiti! Inasikitisha sana...Hakuna kabisa ajuaye kesho. Hata wahanga wa iyo ajali walikuwa wanasoma na kuona ajali zingine zikitokea kama sisi humu hawakujua maskini hata wao watakumbwa. As long as tunaumia vyombo vya moto tujue tu hata sisi ni watarajiwa tu. Piga picha kwa familia zao na wapendwa wao sasa hivi wanavyopitia wakati mgumu. Na waliojeruhiwa maumivu wanavyopitia. Mungu hatusaidie tu kuepukana viburi vya afya na uzima
Hahahaha eti nchi inafunguliwaKwa wiki hii tu wamefariki watu takriban 50
Nchi inafunguliwa hii!
.
Hawa wapumbavu bila ukali wa kiongozi mkuu tutakufa sana tu.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hapo sikatai.bila kupepesa macho dereva anaonekana alikuwa speed akashindwa kuongoza basi, kama amepona aondolewe uhalali wa kuendesha usafiri wa umma akaendeshe gari lake nyumbani.
...Chalinze / Segera, Mkuu!Umewahi endesha kipande cha chalinze mlandizi?
Lakini wanasema chanzo cha ajali on dereva wa Lori kutaka kuikwepa Bajaj?Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta
Hakuna cha sheria, attitude ya Watanzania ni mbaya sana,akijitokeza mtu kumwambia dereva yuko speed apunguze watu wanaguna na wanamgeukia kumuona ni adui.Tuangalie sheria za kuwadhibiti hawa wapumbavu watatumaliza.
Mengine ni ubishi tu yaani nani mtemi barabarani...ni ushenzi tu wa hawa madereva.
Pia wapimwe IQ, ulevi kwenye damu nk.
Sio tuu umakini,Tzn hii tuna viongozi wajinga Sana wanathamini pesa kuliko gharama.Hii barabara inahitaji umakini. Reckless driving ipo juu sana hasa mabasi.
Yote ifanyiwe dualing.First thing first barabarani ndo life line yangu , nime invest huko na maisha yangu kwa asilimia kubwa yapo huko, naelewa vizuri majanga ya huko
Hunitiishi ukisema nitafia barabarani , thats is purely my destiny an i know the risks involved .
T1 ndio barabara busy kuliko zote , na do barabara yenye matukio mengi, kwa wiki hii tu T1 ina matukio mawili ya ajali za basi na zote ni fatal,
Endelea kupiga siasa kwenye mambo technical , barabara hii kwa sasa inatakiwa dual carriageways kwenye sehemu korofi
Haya mambo yalishasahaulika.Wenye mikataba na kizimu wameshika madaraka ,kafara za ajali Tena zimeanza...
Tulisha sahau hzi Mambo.
...Ukute hapo madereva wote wawili walikuwa wangu wangu ndio maana wakashindwa hata kujiokoa na kuwaokoa wengine kwa hata kupeleka gari porini!Tusiweke maneno Wala mbwembwe nyingi kichwa Cha Habari chajieEza , magari Sasa kutoka dar kwenda dodoma yanatumia masaa 6.5 tofauti na magufuli masaa 8, ukiweka na factor ya foleni.
Okay nchi imefunguliwa