Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.

Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha jeshi la zimamoto litimize majukumu yake bila vikwazo-hakuna.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.

Credit: ITV
 
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu.

Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.

Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha jeshi la zimamoto hakuna.

Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Upuuzi wao Kwa nini magari mabovu na wapo tuu?
 
Hayo magari yanayoshinda yameengeshwa tu huwa yanaharibikaje kiasi cha kutotengenezeka?
 
Moto unawaka kwenye nyumba iliyo umbali usiozidi mita 80 kutoka ofisi kuu ya zimamoto.

Zimamoto wanapata taarifa kwa wakati, wanaenda na ndoo za maji kuzima moto gari mbovu.

Ndani ya nyumba kulikuwa na mzee mgonjwa alishindwa kujiokoa akafa.

Namlaani aliyeenda kuomba uhuru wa hii nchi!
 
Moto unawaka kwenye nyumba iliyo umbali usiozidi 80m kutoka ofisi kuu ya zimamoto.

Zimamoto wanapata taarifa kwa wakati, wanaenda na ndoo za maji kuzima moto.Gari mbovu.

Ndani ya nyumba kulikuwa na mzee mgonjwa alishindwa kujiokoa akafa.

Namlaani aliyeenda kuomba uhuru wa hii nchi!
Nakazia na kugongelea msumari kwenye huo Mstari wa mwisho[emoji40]
 
Duh, zimamoyo ni taasisi ambayo ina watu wanapata mishahara kabisa.
 
CCM walivyo na akili mbovu, kwenye mazishi na nguo zao za kijani kumwakilisha mama.
Mtaona...
 
Back
Top Bottom