Haha ukubwa wa moto?Kuna basi liliwaka moto pale Stop Over Zimamoto wakapigiwa simu wakaja all the way kutoka Fire/Jangwani Sec tena kwa ving'ora halafu gari halina maji, eti wamekuja kuangalia ukubwa wa moto ile gari ilipasuliwa na mawe wasingekuwepo FFU wangelichoma moto gari la zimamoto