Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Upuuzi wao Kwa nini magari mabovu na wapo tuu?Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu.
Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa.
Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha jeshi la zimamoto hakuna.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Upuuzi wao Kwa nini magari mabovu na wapo tuu?
Du we mwanamkePicha ya moto ukimuua Mzee tafadhali
🤒 Maana habari za uchonganishi hiziDu we mwanamke
Pole!🤒 Maana habari za uchonganishi hizi
...kasoro bahari.Hivi huu si mji?
Nakazia na kugongelea msumari kwenye huo Mstari wa mwisho[emoji40]Moto unawaka kwenye nyumba iliyo umbali usiozidi 80m kutoka ofisi kuu ya zimamoto.
Zimamoto wanapata taarifa kwa wakati, wanaenda na ndoo za maji kuzima moto.Gari mbovu.
Ndani ya nyumba kulikuwa na mzee mgonjwa alishindwa kujiokoa akafa.
Namlaani aliyeenda kuomba uhuru wa hii nchi!