Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

Nimesikia hii habari yani kkama watu wasipowajibishwa kkwenye hili tukio itakuwa dharau kubwa sana kwa wananchi zimamoto hawawajibishwi kabisa kwa uzembe wao
 
Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa...
Tanzania jambo moja linaloweza kufanyika kwa ufanisi na ukamilifu ni moja tu nalo ni Uchaguzi.
 
Wangeambiwa magari ya Washa washa kuzima maandamano ya Dp world ndio ungeona kuwa wako very Equiped
 
Naskia wameenda na bodaboda
 
Option ya ku ignore habari za anaye kukera ipo pia hapa jf. Kwa hiyo Mwachiluwi uamuzi ni wako ima uendelee kukereka na mimi ama uni ignore ili usiendelee kukereka nami.
Mwazo ulipo ingia jf nilikuwa nakuona bro mkubwa sana ila una nongwa sana sasa unajuaje kama serikali haijatoa hela ya kufanya matengenezo?
 
Mwazo ulipo ingia jf nilikuwa nakuona bro mkubwa sana ila una nongwa sana sasa unajuaje kama serikali haijatoa hela ya kufanya matengenezo?
Nipo jf tokea 2009, sifahamu ulikuwa wapi enzi hizo! Ama upya wa ID unakufanya ujione mkongwe kuliko mimi?!

Siyo kila unachokiona ndivyo kilivyo. ZINGATIA!
 
Kuna basi liliwaka moto pale Stop Over Zimamoto wakapigiwa simu wakaja all the way kutoka Fire/Jangwani Sec tena kwa ving'ora halafu gari halina maji, eti wamekuja kuangalia ukubwa wa moto ile gari ilipasuliwa na mawe wasingekuwepo FFU wangelichoma moto gari la zimamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…