Haha ukubwa wa moto?Kuna basi liliwaka moto pale Stop Over Zimamoto wakapigiwa simu wakaja all the way kutoka Fire/Jangwani Sec tena kwa ving'ora halafu gari halina maji, eti wamekuja kuangalia ukubwa wa moto ile gari ilipasuliwa na mawe wasingekuwepo FFU wangelichoma moto gari la zimamoto
Ndiyo. Yaani si ulipo hapo unapaona mbele yako na ndivyo ilivyokuwa.Hii kali. Ila naskia moto umetokea jirani kabisa na fire. Wangebeba madumu ya maji angalau
Ilo najua kuwa wew mkongwe ila hii I'd unatumia baada ya sakata la bandari kuanzNipo jf tokea 2009, sifahamu ulikuwa wapi enzi hizo! Ama upya wa ID unakufanya ujione mkongwe kuliko mimi?!
Siyo kila unachokiona ndivyo kilivyo. ZINGATIA!
Kuwa makini, siyo kila mbu ni inzi.Ilo najua kuwa wew mkongwe ila hii I'd unatumia baada ya sakata la bandari kuanz
Zimamoto tuwakabidhi Waarabu au mnasemaje?
Mwarabu apewee tu hakuna namna!!Upuuzi wao Kwa nini magari mabovu na wapo tuu?
Mwarabu apewee tu hakuna namna!!Hayo magari yanayoshinda yameengeshwa tu huwa yanaharibikaje kiasi cha kutotengenezeka?
[emoji16][emoji16][emoji16]CCM walivyo na akili mbovu, kwenye mazishi na nguo zao za kijani kumwakilisha mama.
Mtaona...
Hakuna namna,inabidi iwee hivyo, Mwarabu apewee tu!!Zimamoto tuwakabidhi Waarabu au mnasemaje?
Mwarabu apewee tu hakuna namna inabidi iwee hivyo!!!Moto unawaka kwenye nyumba iliyo umbali usiozidi mita 80 kutoka ofisi kuu ya zimamoto.
Zimamoto wanapata taarifa kwa wakati, wanaenda na ndoo za maji kuzima moto gari mbovu.
Ndani ya nyumba kulikuwa na mzee mgonjwa alishindwa kujiokoa akafa.
Namlaani aliyeenda kuomba uhuru wa hii nchi!
Aiwee nimecheka kama mazuri vile [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli nyerere alitukosea saaana.alipigania Uhuru badala ya kutuweka huru akatuweka mateka hadi sasa tunateseka.