Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nauheshim sana huo mtu mkuu. Miaka kadhaa nyuma Kuna mmakonde alikujaga posta alivaa suruali lain na miti shamba. Akawa anashika dude laivu, maeneo ya stendi ya stesheni pale anasema wanaume mnione..Tafadhali usiliweke mkuu. Baada ya wewe kuandika hapa, imebidi nizame gugo kugugo. Nimeelewa maajabu yake. Mleta mada achukue hizo notes
Nauheshim sana huo mtu mkuu. Miaka kadhaa nyuma Kuna mmakonde alikujaga posta alivaa suruali lain na miti shamba. Akawa anashika dude laivu, maeneo ya stendi ya stesheni pale anasema wanaume mnione..
Ilikuwa bonge la dude tukamfata chombingo. Akatuuzia na kutuelekeza, kweli mkuu mm nikaanza kutumia. Nkawa naona utofauti sna ruti ya kwenda choon ikawa kubwa nkawa nakunywa maji mengi. Ndani ya muda nkaona matokeo.. kadri unavyokojoa mara nyingi ongeza kunywa maji mengi.
Narudia mkuu " uheshimu sana huu mti"
Yan mkuu hizo mdalasin sijui iliki mchai chai.. karafuu.. mbwembwe tu! Ule mizizi wa ule mti ni baba lao! JeeshiiiView attachment 2942916
Kuna blog imesema hivi kuhusu matumizi yake. Labda kuna maelekezo mengine mkuu
c.c Mjanja M1
Duh!....Mwambie atafute mizizi ya mti wa Mlonge. Aichemshe na kunywa maji Lita Moja kila siku
Huu uzi umechukua uelekeo mpyaView attachment 2942916
Kuna blog imesema hivi kuhusu matumizi yake. Labda kuna maelekezo mengine mkuu
c.c Mjanja M1
NSA,CIA &FBI ni balaa 🤣🤣🤣🤣🪑💺🎶🎶🎶Marekani yuko mbele ya muda
Ni Waislam 🤣 🤣 🤣 🤣
Umewahi kujiuliza why kuna mtu aliyefunga for no reason anachukia mtu asiyefunga akil
mti gani mkuu tupeane kodiNauheshim sana huo mtu mkuu. Miaka kadhaa nyuma Kuna mmakonde alikujaga posta alivaa suruali lain na miti shamba. Akawa anashika dude laivu, maeneo ya stendi ya stesheni pale anasema wanaume mnione..
Ilikuwa bonge la dude tukamfata chombingo. Akatuuzia na kutuelekeza, kweli mkuu mm nikaanza kutumia. Nkawa naona utofauti sna ruti ya kwenda choon ikawa kubwa nkawa nakunywa maji mengi. Ndani ya muda nkaona matokeo.. kadri unavyokojoa mara nyingi ongeza kunywa maji mengi.
Narudia mkuu " uheshimu sana huu mti"
Sasa mbona hutaji huo mti?Yan mkuu hizo mdalasin sijui iliki mchai chai.. karafuu.. mbwembwe tu! Ule mizizi wa ule mti ni baba lao! Jeeshiii
Wewe ukiukamata ule huna haja hata ya kuuanika na kuusaga we ukate vipande kama vya chipsi upige maji uchemshe. Jaza chupa ya Lita Moja na nusu! Jipinde kunywa umailze na ujazie na maji mengine ya kawaida kila ukitoka chooni.. wiki Moja tu utakuja hapahapa na mm nipo
Ulivyo na akili fupi unashabikia ugaidi, hivi hukumbuki kuwa hata US, Israel, German zimewahi kushambuliwa na Magaidi kwa nyakati tofauti tofauti? Punguza mahaba uwe objective.Inamaana super power wa mchongo hakuona tahadhari ya Us?
Marekani, Ujerumani, Ufaransa na Israel zote hixo kwa nyakati tofauti zime kushambuliwa na Magaidi, je naxo Ni failed state kiintel au Ni chuki ulizonazo juu ya urusi ndo zinakufanya useme hivyo.Sasa Mrusi chini ya Putin mbabe wa dunia kiboko ya ukrain alishindwa nini kung’amua haya mpaka asubiri kuambiwa na Mmarikan na bado kupuuzia na yamemkuta kweli!
Yumkini Russia ni failed state kwenye masuala mazima ya intelijensia
Mod anafanya kazi akiwa Bar.Moderator imekuaje tena
Mleta mada usipotee Tena kwenye jukwaa hili baada ya hili tukio BAYA lililotokeA Moscowwenye silaha waliposhambulia