T
Hii ndio inadhihirisha kuwa hao jamaa wanahusika 100%. Kutoa security alert masaa kadhaa nyuma halafu tukio litokee ni kusema "tunashambulia hapo hivyo msiende hapo"
Tahadhari ilitolewa wiki mbili zilizopita.
 
Kwa kilicho kuwa kinaendelea mpakani mwa Ukraine haikuhitaji elimu ya chuo kikuu kujua kuwa Urusi alikuwa anajiandaa kuivamia Ukraine.
 
Yawezekana waliotoa taarifa ndio waharifu/ringleaders
 
🚨 🇷🇺 Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi:

Ikiwa Marekani ina habari juu ya shambulio la kigaidi karibu na Moscow, inapaswa kuwapa taarifaMoscow.

Je, ni kwa msingi gani Marekani inasema Ukraine haikuhusika katika ufyatuaji risasi karibu na Moscow?

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema vyombo vya sheria vya Urusi vitaamua nani alihusika na shambulio hilo.

Hawa siyo Gaza subiri majibu.
 
Hiyo CIA mbona imeshindwa kuzuia mauaji ya maelfu ya raia wa Marekani wanao kufa kila mwaka kwa sababu ya ufyatulianaji wa risasi?
Kwa sababu ugaidi ni tofauti sana na matatizo ya akili au ugomvi binafsi wa watu mitaani. Ugaidi huwa unapangwa, visa vya ufyatulianaji risasi Marekani watu hawakai chini wakafanya mipango.
 
Hiyo CIA mbona imeshindwa kuzuia mauaji ya maelfu ya raia wa Marekani wanao kufa kila mwaka kwa sababu ya ufyatulianaji wa risasi?
Silaha ni assets mojakubwa sn kwenye kuwaingizia hela,bila vita mmarekani anakua hana hela it’s part of their budgets kukiwa kimya hawana raha,and hawana hela.
So US to survive they need war hakuna kingine,hapo ndiowanaiba rasilimari zote kwa nchi husika.
Asilimia kubwa ya malighafi za mmarekani ameiba sio kununua
 
Maria Zakharova:

“The White House said it saw no indication that Ukraine or Ukrainians were involved in the terrorist attack in Moscow.

On what basis do officials in Washington draw any conclusions about anyone's innocence in the midst of a tragedy? If the United States has or had reliable information in this regard, then it must be immediately transferred to the Russian side.

And if there is no such data, then the White House has no right to issue indulgences to anyone.

All those involved, as stated by the Russian leadership, will be identified by the competent authorities.”
 
Hivi wewe unaelewa mambo au unajibu tu? Nimekuambia kuwa kutolewa kwa hiyo tahadhari ndio kunathibitisha NATO wanahusika?

Huwezi ku relate?

Au hujui NATO ni nini?
😂😂😂😂sasa kazi ya idara yao ya intelligence ni nini?!
 
Hiyo ni timeline ya historia ya uhalifu wa kigaidi Russia, shambulio lililotokea leo muda huu limeshakuwa updated na wahusika ndio hao unaowaona hao, Sijajua kama NATO na IS kama wana mahusiano ya moja kwa moja au vipiView attachment 2942073
Hivi mkuu unajua dunia inavyoendeshwa? Unajua makundi ya kigaidi yanafadiliwa na US au hujui?

Je unajua kwanini nchi zenye resources muhimu ndio huwa zina migogoro? Je unajua ni nani chanzo cha hiyo migogoro?

Tuanzie hapo isije kuwa napoteza muda kwa mtu asiejua dunia inavyoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…