Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
ISIS has now released an additional Statement in which they claim Responsibility for the Terrorist Attack last night against the Crocus Concert Hall in the Russian Capital of Moscow; while also Posting a Picture of the Attackers only minutes before the Shooting began, in which you can clearly see the same Outfits on several of the Terrorists that were Arrested by Russian Security Forces in the Bryansk Region earlier today.

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1771542281436254682?s=19

Mbona wanalazimisha waaminiwe kuwa ni wao!!?
Si wameshasema ni wao. Basi watulie. Au Kuna kinachocichwa
 
Yan mkuu hizo mdalasin sijui iliki mchai chai.. karafuu.. mbwembwe tu! Ule mizizi wa ule mti ni baba lao! Jeeshiii

Wewe ukiukamata ule huna haja hata ya kuuanika na kuusaga we ukate vipande kama vya chipsi upige maji uchemshe. Jaza chupa ya Lita Moja na nusu! Jipinde kunywa umailze na ujazie na maji mengine ya kawaida kila ukitoka chooni.. wiki Moja tu utakuja hapahapa na mm nipo
Mkuu weka sawa maelekezo kwa wanajukwaa wasije kuzidisha dozi
1. Hiyo lita moja unusu unachanganya na kipimo gani cha mizizi? Kama ni kiganja viganja vingapi
2. Unakunywa vuguvugu au baada ya kupoa?
3. Unakunywa glass ngapi, mara ngapi kwa siku?
 
We mizizi ile chemsha. Maji yaliyochemshwa na hiyo mizizi yajaze kwenye chupa ya Lita Moja. Kunywa!
 
Inawezekana ikawa false flag OP wapate sababu ya kuipiga ukraine kwa nyuklia.
Nuclear option si rahisi kama unavyodhani. The moment wao wakianza so does nato watakuwa wamepata sababu ya kuingia ukraine directly na kutumia nuclear. So hapa kila mtu ana mlia mwenzie timing
 
Matumizi yake{jinsi ya kutumia}
Hii mkuu ukipata mizizi icharange vipande vidogo vidogo kama chipsi. Vichemshe na maji mengi

Baada ya kupata mchemshi mzuri maji Yale yatunze kwenye chupa, hakikisha ni Lita Moja na nusu au Moja unywe umalize kwa siku . Uzuri sio wa uchungu

Vipande vianike kesho chemsha tena. Tumia wiki 2 tu. Nakuhakkishia ndani ya siku 4 unaiona dhakari yako imetoka nje nzima nzima... Yani imekunjuka vizuri na sio ndogo kama ileeee.

Mm nipo hapa hapa jamii forum nasubir Mrejesho. Jina langu Kalaga baho
 
Ahsante naweza pata hela hivihivi . kuna jamaa yangu nilimwambia hakuna dawa ya namna hiyo maana anayo kama ya kuku kipisi tu
 
Hii Dunia kuna wahuni,vichwa vimeshavurugwa

Jiulize Hao magaidi wamejiamini vip kusafiri mpk Kremlin, Russia kupiga tukio na kuwasha gari kuanza Safari ya kutoroka km karibia 520
Walibakiza km 150 tu,wafike mpakani wasingepatikana tena

Raia zinajiamini kupita kiasi,ukizubaa unazikuta chumbani kwako 😄
Jamaa watafanywa kitu mbaya kabisa, check advertisment kwanza

Siku zote nitaiunga Israel kwenye mammbano dhidi ya Ugaidi wa Kiisalam
 
Back
Top Bottom