Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Ujinga tu. Kila siku tunafundishwa na wataalam wa afya kuwa tusiweke chochote sehemu za siri... Kuna watu hawaelewi
huenda hawapati hizo habari,rafiki yangu mmoja ni docta juzi kati kanisimulia mara nyingi wanakutana na wadada wenye papuchi chafu so inabidi wawape elimu ya kusafisha
 
Picha Tafadhali, ili nipate kusoma vizuri nianze na pic kwanza!
 
Wewe Dada unapokea vipi maji usiojua kachota wapi kama kachanganya na jiki wewe unapeleka tu kwa bibi? Mambo mengine yakujitakia kuomba omba vitu kwa watu vina madhara kwanini usiyafuate mwenyewe huko alichukua? Pole sana tuwekee na pic kabisa ili tuone kulivyoharibika ,[emoji3][emoji3]
 
Kabla mwenzie hajakamatwa inatakiwa aeleze lengo la kuyaweka sehem za siri lilikuwa lipi? Palikuwa panauma au lah! Kama palikuwa panauma inamaana itakuwa tatzo lilikuwepo tangu mwanzo pengine ndipo lilipofikia, kama tatzo halikuwepo inabid aseme walishauriana nini hadi aweke huko na sio kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…