Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Maji ya kupewa hujui ni masafi au yana mchanganyiko gani kuweka huko, ni ujasiri.
Ujinga hao ndiyo wale mtu anapikia chumbani anakuchotea chakula unaenda kufakamia tu kama bata
 
Sasa na yeye alikua anaweka hayo maji ukeni ili iweje? Alitaka papuchi ipate baraka iwe na wageni wengi au[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kanisani kwao ni fujo, ila waumini wao hizo fujo wanazifuata kwenye makanisa ya kilokole na niwateja wazuri tu huko!
 
Kuna jamaa mmoja kutoka kabila bishi nchini, yeye kapewa mafuta kutoka kwa nabii kaambiwa apake usoni hivi sasa kaungua uso wote ana rangi mbili.
Ndiyo akafuate panga sasa si katoka kabila bishi?
 
Maji ya baraka alitaka yaifanyaje hiyo mbususu? Apendwe zaidi ama baraka gani hizo za mbususu?. Pole yake sana
 
Maji hayo yalifikaje uko sirini? Mwana kulitafuta mwana kuliget .

Hali ni mbaya sana kitaa.
 
Maji ya kuoshea maiti unapoyapaka kwenye naniliu unategemea nini?. Karibia vitu vyote vinavyotolewa kama visaidizi vya imani huwa na madhara. Mungu wa kweli hahitaji usaidizi,yeye amekamilika katika yote.
 
hapo alidanganywa "ukipaka hii jamaa akiingia tu kesho anatangaza ndoa.."
 
Serkali haina kazi ss itafute maendeleo na kuhakikisha ulinzi bado kuna mtu anajitakia Mambo yake
 
unapewa maji ya baraka unywe we unaweka kwenye mbususu sasa mbususu inataka baraka gani...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…