mtechnical
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 238
- 570
Waafrica akili hakuna kabisa, yani tuna funga jela mashoga ( wanaoingiliwa) ambao ni victim harafu tunaacha wanaume wanaoingilia mashoga ili watafute wengine wa kuharibu.mtaani kwetu ilishawahi kutokea kesi kama hiyo, jamaa alikuwa kwenye 25 huko, akawa analawitiwa mara nyingi tu na watu, kaka yake alikuwa anampenda sana si unajua una dogo unayetaka kumfundisha maisha awe kijana bora, kumbe hujui, siku akaja kusikia huo uzushi, akafuatilia akamnyaka mchana kwenye chumba cha jamaa. alimpiga vibao ila akawa anatafuta sababu awafanye nini wale majamaa waliokuwa wanamlawiti, akamlazimisha kufungua kesi polisi, ilienda mahakamani lakini lijamaa likaonekana bwabwa linaeleza kuwa lenyewe huwa linaenda kwao mara kwa mara na wao wanamlala, mtu wa 25 amelawitiwa leo, keshokutwa anaenda tena kwenye vyumba vyao hao mabachela, jamaa alitufuata wanasheria tumpe ushauri atoe adhabu gani kwa hao wahalifu, tuliishia kumwambia aisee kama bado unampenda dogo wako, achana na hiyo kesi, na yeye anaenda kufungwa kwa kuruhusu kulawitiwa.
Moshi na Arusha kuna ulawiti sana, sababu ya kufuata mambo ya magharibi, na pia mabange na madawa ya kulevya, mateja wengi wakilewa madawa huwa wanalawitiwa ivyo wanajikuta wamekuwa mabwabwa kiutani utani tu hivi. ndugu zangu wachaga sijui shida ni nini au tuseme maish aya kisasa ya kula mavyakula ya kisasa miaka hii imefanya watu wame na mambo ya kike, au mapombe? nini shida? na si ukute hapo wameshachukua mpunga mrefu wa mtaji wamemwambia dogo kesi iishe tu hii, atatoka hapo ataendelea kulawitiwa na wale wanaolawiti watatafuta kijana mwingine wamharibu kwasababu wamezoea huo uchafu wakati Mungu kaumba wanawake kibao tu wenye maumbile ya kike kwa shughuli hiyo.
Pumbavu sana.