Moshi: Kijana aliyelawitiwa na Wanaume Watano, wazazi Wasema hawawezi kumudu gharama za nauli ya kufuatilia kesi

mtaani kwetu ilishawahi kutokea kesi kama hiyo, jamaa alikuwa kwenye 25 huko, akawa analawitiwa mara nyingi tu na watu, kaka yake alikuwa anampenda sana si unajua una dogo unayetaka kumfundisha maisha awe kijana bora, kumbe hujui, siku akaja kusikia huo uzushi, akafuatilia akamnyaka mchana kwenye chumba cha jamaa. alimpiga vibao ila akawa anatafuta sababu awafanye nini wale majamaa waliokuwa wanamlawiti, akamlazimisha kufungua kesi polisi, ilienda mahakamani lakini lijamaa likaonekana bwabwa linaeleza kuwa lenyewe huwa linaenda kwao mara kwa mara na wao wanamlala, mtu wa 25 amelawitiwa leo, keshokutwa anaenda tena kwenye vyumba vyao hao mabachela, jamaa alitufuata wanasheria tumpe ushauri atoe adhabu gani kwa hao wahalifu, tuliishia kumwambia aisee kama bado unampenda dogo wako, achana na hiyo kesi, na yeye anaenda kufungwa kwa kuruhusu kulawitiwa.

Moshi na Arusha kuna ulawiti sana, sababu ya kufuata mambo ya magharibi, na pia mabange na madawa ya kulevya, mateja wengi wakilewa madawa huwa wanalawitiwa ivyo wanajikuta wamekuwa mabwabwa kiutani utani tu hivi. ndugu zangu wachaga sijui shida ni nini au tuseme maish aya kisasa ya kula mavyakula ya kisasa miaka hii imefanya watu wame na mambo ya kike, au mapombe? nini shida? na si ukute hapo wameshachukua mpunga mrefu wa mtaji wamemwambia dogo kesi iishe tu hii, atatoka hapo ataendelea kulawitiwa na wale wanaolawiti watatafuta kijana mwingine wamharibu kwasababu wamezoea huo uchafu wakati Mungu kaumba wanawake kibao tu wenye maumbile ya kike kwa shughuli hiyo.
Waafrica akili hakuna kabisa, yani tuna funga jela mashoga ( wanaoingiliwa) ambao ni victim harafu tunaacha wanaume wanaoingilia mashoga ili watafute wengine wa kuharibu.
Pumbavu sana.
 
Aisee sjui kwanini kilimanjaro huu ujinga unasambaa kwa kasi yaani kuna sehemu nilienda huko rombo moshi arusha vijana wanapenda kuliwa sana
Kwakweli hali inatisha sana hayo maeneo, ni kawaida kabisa kukuta vijana wanaongea huku kila mmoja ameshika paja la mwenzake
 
mtaani kwetu ilishawahi kutokea kesi kama hiyo, jamaa alikuwa kwenye 25 huko, akawa analawitiwa mara nyingi tu na watu, kaka yake alikuwa anampenda sana si unajua una dogo unayetaka kumfundisha maisha awe kijana bora, kumbe hujui, siku akaja kusikia huo uzushi, akafuatilia akamnyaka mchana kwenye chumba cha jamaa. alimpiga vibao ila akawa anatafuta sababu awafanye nini wale majamaa waliokuwa wanamlawiti, akamlazimisha kufungua kesi polisi, ilienda mahakamani lakini lijamaa likaonekana bwabwa linaeleza kuwa lenyewe huwa linaenda kwao mara kwa mara na wao wanamlala, mtu wa 25 amelawitiwa leo, keshokutwa anaenda tena kwenye vyumba vyao hao mabachela, jamaa alitufuata wanasheria tumpe ushauri atoe adhabu gani kwa hao wahalifu, tuliishia kumwambia aisee kama bado unampenda dogo wako, achana na hiyo kesi, na yeye anaenda kufungwa kwa kuruhusu kulawitiwa.

Moshi na Arusha kuna ulawiti sana, sababu ya kufuata mambo ya magharibi, na pia mabange na madawa ya kulevya, mateja wengi wakilewa madawa huwa wanalawitiwa ivyo wanajikuta wamekuwa mabwabwa kiutani utani tu hivi. ndugu zangu wachaga sijui shida ni nini au tuseme maish aya kisasa ya kula mavyakula ya kisasa miaka hii imefanya watu wame na mambo ya kike, au mapombe? nini shida? na si ukute hapo wameshachukua mpunga mrefu wa mtaji wamemwambia dogo kesi iishe tu hii, atatoka hapo ataendelea kulawitiwa na wale wanaolawiti watatafuta kijana mwingine wamharibu kwasababu wamezoea huo uchafu wakati Mungu kaumba wanawake kibao tu wenye maumbile ya kike kwa shughuli hiyo.
Siku mtakapo acha unafikiii, na tatizo la ushoga litatatulika.
 
Athari za ulevi uliopindukia na mibangi maana mtu huwezi fanyiwa hivyo ukiwa na akili timamu labda kwa watoto walionyanyaswa wakiwa hawajitambui
Kwani Gays wanaofanywa kwa hiyari ni matahira? Au walinyanyaswa utotoni? Ndo maana mnashindwa kutatua tatizo hili.
Kwa 7bu hamjui nn mfanye.
 
Waafrica akili hakuna kabisa, yani tuna funga jela mashoga ( wanaoingiliwa) ambao ni victim harafu tunaacha wanaume wanaoingilia mashoga ili watafute wengine wa kuharibu.
Pumbavu sana.
Sio akili hakuna ni UNAFIKI.
Hata mtaani msenge atatengwa, ila basha ataonekana shujaa na mwanaume haswaaa.
 
Kijana Mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20,(jina tunalihifadhi kwa sasa) Mwenye matatizo ya akili amelawitiwa na wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika wilaya ya Hai katika Kata ya Machame Narumu limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta. Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni KwelI kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na Kati yao wapo wanaume Za watu.

Aidha Kijana huyo amedai kuwa huingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai Kuwa kutokana na h ali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.
Wapo wapi wapiga kelele haki za binadamu ? Wanachagua ishu za kusimama nazo kama upinde na feminism bullshit.
 
Kijana Mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20,(jina tunalihifadhi kwa sasa) Mwenye matatizo ya akili amelawitiwa na wanaume watano.

Tukio hilo limetokea Katika wilaya ya Hai katika Kata ya Machame Narumu limezua taharuki miongoni mwa watu baada ya kijana huo kushindwa kukaa na kueleza tukio hilo lililomkuta. Baada ya Uchunguzi na vipimo vya Daktari vimeonyesha ni KwelI kuwa kijana huyo kuingiliwa.

Kati ya Watuhumiwa waliotajwa Watatu wamekimbia na wawili wamekamatwa na Kati yao wapo wanaume Za watu.

Aidha Kijana huyo amedai kuwa huingiliwa na watu hao mara kwa mara.

Wazazi wa kijana huyo wamedai Kuwa kutokana na h ali halisi ya maisha yao, hawana kipato cha kuweza kumudu gharama za nauli kufuatilia kesi hiyo bali wanamuachia Mungu.
Kesi hiyo ni kati ya Jamhuri na watuhumiwa, wao ni sawa na sisi ni wasikilizaji tu.
 
Naomba habari hii imfikie Dada Dorothy Gwajima kwa hatua zaidi.
Lakini hata Kama wazazi hawawezi kuja mahakamani ndio kesi ifutwe?
 
Hapo kilimanjaro watu wanazidi kupoteza ubingwa
 
Huku kweny mitandao wanasema wote matajiri ,mda huo watu wanashindwa pesa ya nauli.

Maghayo njoo uone michezo yenu ya kupakuana.!
 
Hao washenzi 5 wasitumie kigezo cha mwenzao kuwa na tatizo la akili kuendelea kumgeuza mke.

Kuna haja huyo Mama yake aende dawati la jinsia ili asaidiwe kufungua mashtaka ili kuweza kuwaadabisha hao wafedhuri.

Kama mtaona mnaweza kusimamia zoezi la kuchangisha michango na kuwasilisha Kwa mlengwa ili kusaidia gharama za awali za kufungua mashtaka pamoja na gharama za kuendesha case nipo tayari kuchangia kidogo sehemu ya mchango huo.

Tuungane kupinga Ulawiti kwani ni chukizo mbele za Mungu pamoja na jamii iliyostaarabika ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom