Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Majirani walikua wanaijua shida yake, au ili baki kuwa siri yao.Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majirani walikua wanaijua shida yake, au ili baki kuwa siri yao.Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Kama hawakujulishwa juu ya mkwamo huo, hawezi kuota.Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Na harusi za wachaga utachanga kwa lazima na kiwango unapangiwa.Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Nchi imefunguka kwa machawa pekee.Maisha yamekuwa magumu mara 100 pamoja na watu kusema nchi imefunguka!
Teh!! Na wengine watanunua sare, kamera kwa wingi Hadi maua ambayo wanajua kabisa hata marehemu hawezi kuyanusa, kweli ubinadamu kazi.Halaf hapo watachanga pesa ya mchele wapike msiban
Angeenda omba msikitini angeeleweka na kusaidiwaWatu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Na mbege zitanywekaHalaf hapo watachanga pesa ya mchele wapike msiban
Wachaga siyo watuTeh!! Na wengine watanunua sare, kamera kwa wingi Hadi maua ambayo wanajua kabisa hata marehemu hawezi kuyanusa, kweli ubinadamu kazi.
Kama ni kweli basi SAMIA NA MZEE WA MSOGA WAJENGEWE SANAMU LA PONGEZIMarehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo.
Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
huu ndo ukweliMaisha yamekuwa magumu mara 100 pamoja na watu kusema nchi imefunguka!
Nchi nzima watu wawe matajiri? Hili ni jukumu la Serikali wacheni kuwa mnajitoa ufahamu, huyo ni Mtanzania ni wajibu wa Serilali kuhakikisha raia wake wanapata matibabu,
Swala sio umasikini swala la Serikali ya kipuuzi tulio nayo"Umasikini si laana, ila si jambo jema"
Apumzike kwa amani shemeji yetu
Angeenda omba msikitini angeeleweka na kusaidiwa