Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
@Bushmammy. Umekuwa reporter ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima ya kwa wote ilikua ni Cheap. Nchi nyingine ni Bure.Kama ameshindwa kulipa matibabu ya haraka, hiyo ya kulipia bima ambapo unalipa tu hata kama hauumwi ataiweza?
Wanasbiria kuchanga Msiba wale,wanywe,Ndugu wafunge safari kutoka Mikoani waende kumzika....Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Huku simba na Yanga wanapewa miln tano kila Gori Moja.Marehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Roho mbaya kubwa Sanaa hyooo....Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Utaona watakavyotoa kwenye mchango wa Msiba,pesa itakua kibao hadi utajiuliza Sasa walishindwa Nini kumpaa pesa ya matibabu japo kidogo!!Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Usihukumu Mtu wakati uchumi wake hujui ukoje!!??Watz mazuzu
Utaona watakavyotoa kwenye mchango wa Msiba,pesa itakua kibao hadi utajiuliza Sasa walishindwa Nini kumpaa pesa ya matibabu japo kidogo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Marehemu Happiness kasmiry kutoka kijiji cha Usari wilaya ya Moshi. Alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu.
Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa la John alihakangaika kutafuta pesa ya kumpeleka Hospital kwa siku kadhaa bila mafanikio.
Mume wa marehemu amesema alikuwa anakabiliwa na ukata mkubwa kutokana na kumuhudumia mama yake mzazi ambae amepooza upande mmoja wa mwili.
Marehemu ameacha watoto watatu wadogo. Mwenyekiti wa kijiji hicho amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema ni kweli familia ilikosa namna ya kumpeleka kupata matibabu kutokana na ukata hivyo mama huyo kufariki dunia akiwa nyumbani kwake
Mbona nlisikia mkoa huo haun maskini kabisa🤔
ishu sio kuchangisha mkuu, Huenda kijiji kina wagonjwa wengi sana na uwezo wa waliomzunguka huenda kipato chao hakina akiba ni ile wanapata wanakula inaisha. Na mara nyingi kuna watu hawapendi kutangaza mambo yao au hata akisema wanachukulia kawaida tu. Maana siku hizi ni kawaida kusikia neno sina hata Mia, sina hela, nina matatizo n.k haya manneo yamezoeleka kiasi kwamba hata ukimwmabia mtu anaona tu ni kawaidaWatu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼♂️🙆🏼♂️
Halaf hapo watachanga pesa ya mchele wapike msiban
Ushaambiwa alikuwa MOSHI (Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo)Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Niliwahi skia huko Chuga na Moshi wanajifanya wakenya kila mtu kivyake.Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Hapo ndio unauona unafiq wa watu wazi wazi, yaan hata wanaolia msibani huwa hawalii kumaanisha zile ni geresha tu, wanasubiri ukishafukiwa wale na kunywa maana misiba ya siku hizi ni kama sherehe.Halaf hapo watachanga pesa ya mchele wapike msiban