Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

Watu Wana roho mbaya, majirani wote wameshindwa kumpa msaada hata wa laki akaanze matibabu, mpaka mtu anakufa
Majirani walikua wanaijua shida yake, au ili baki kuwa siri yao.
 
Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Kama hawakujulishwa juu ya mkwamo huo, hawezi kuota.
 
Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,[emoji2301][emoji2301]
Na harusi za wachaga utachanga kwa lazima na kiwango unapangiwa.
 
Binafsi sitakubali kufia home, naenda hospital hata kama sina hela naenda kulala kwenye mabenchi ya mapokezi wasinitibu nifie hapo
 
Watu wote walozunguka pale walishindwa msaidie aende hospital ,?mwenyekit anashindwa changisha watu huku mgonjwa yupo hospital mbona wanachangisha pesa za mlinzi mara sijui nin ,🙆🏼‍♂️🙆🏼‍♂️
Angeenda omba msikitini angeeleweka na kusaidiwa
 
Kama ni kweli basi SAMIA NA MZEE WA MSOGA WAJENGEWE SANAMU LA PONGEZI
 
Duh! Inasikitisha Sana kwa kweli 😥.
Umaskini sio Jambo la kujivunia kbsa,ndo kuna muda huwa nauona umaskini Kama dhambi machoni pa Mungu.
 
Maisha yamekuwa magumu mara 100 pamoja na watu kusema nchi imefunguka!
huu ndo ukweli
kuna kundi la watu wachache wananufaika zaidi

alafu kuna wapiga zumari pia, ila kwa hali halisi maisha yamekuwa magumu mnooo
 

ndiomana wachaga wakienda mikoa yenye unafuu wamaisha wanaiba kwelikweli

kwaonjaa tupu
wanashindwa Hadi kusaidiana kwenyeshida coz wote njaakali.
 
Nimewahurumia sana hao watoto jmn wamepoteza mama katika umri mdogo.Mungu awapiganie wakue na kustawi maishani
 
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii familia.Haiwezekani mume na mke wote wakose ndugu wa kuwasaidia.
 
Bado utasikia mapendekezo ya Mama na mtoto wasio na ajira kuchangia Bima yao ya kibepari....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…