Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

Unajua gharama zakuuguza mtu mwenye stroke mzee baba, usiombe yakukute nakama huna bima ndio utatamani ufe wewe kwanza.
 
Una kufa kweli mkuu hakuna atakaye hangaika nawe hii ndio Africa.
Case ya emergency kama ya huyo mama apo lazima apokelewe na kupewa huduma kwanza. Tuache kutunga sera zetu wakuu. Ndio maana hata wagonjwa wa ajali wakipelekwa hospitali husikii kuhusu gharama ya faili wala nini. Ni matibabu kwanza.
 
Nakuelewa sana ndugu, kama hayajamkuta hawezi kukuelewa.
 
Hela ya matibabu haikupatikana, cha ajabu msibani yatapikwa masufuria ya ubwabwa, nyama bila kusahau mapipa ya mbege....
Apumzike kwa amani, umasikini ni mbaya sana
 
Na hata angekuja humu mtandaoni kuomba msaada angetukanwa na kudhihakiwa.

LAKINI MASHENZI HAYO YAMO HUMU PIA YANAJIFANYA KUSEKETEEKAAA
 
Trueeeeeee
 
Huyu mwenyekiti hana maana kabisa. Alishindwaje kuhamasisha watu wake wamchangie mgonjwa. Hawa viongozi sijui uelewa wao uko wapi ati!
 
Very sad,, ila kuchangia umiss na yale yote Mwenyezi Mungu ameyakataza wako sawa/fasta
 
Umaskini KILIMANJARO ni 10% tu kwa mujibu WA ripoti
Kwani USA hakuna ombaomba?
Yeap hata ingekuwa 50 kwa mikoa still masikini wapo ..sasa hao 10% usiombe ukawa ni wewe na ukoo wako.

Kama mpo safi hamna neno ila tambua wapo wanatoka huko wengi njaa kali
 
baba yangu alifariki hivihivi nadhani ni uelewa mdogo na umaskini pia maana alipelekwa hospitali amezidiwa,alikufa kimasihara.kuhara kunaua,pole wafiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…