Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

Moshi Masama: Shule ya kiislam na mashamba ya wazungu yadaiwa kuuziwa maji ya wananchi, wananchi hawana maji kwa miaka 8

Na nyie muache kulalamika. Chimbeni ya kwenu wenyewe.
 
Wananchi mna shindwa kufanya action moja matata hapo .kama nyie ndo mme chimba huo mtaro sizani kama ita washinda kuuchimbua
Wachaga wa Hai hawanaga meno, Sabaya aliwasumbua wako komya tu.
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho!!!Kirikiri ni kimira?Jifunze kutofautisha

Pili unasema eti nachozungumza ni uwongo?Unakifahamu kijiji cha kimira au unaropoka?Kimira ya Juu yote kuanzia kanisani mudio tokea 2014 wananchi wanateseka maji yameuzwa Islamic na kibohehe halafu unaongea pumba zako hapa


Maji ya kimira yote yamechepushwa kupitia mkwamangi yakapelekwa mudio Islamic halafu wewe unatetea uwongo wako hapa kanakwamba wewe unaijua kimira kuliko mm mkazi?

F1EB7593-DB22-4542-BEA9-F468DFD1655D.jpeg
 
1. MOSHI - Mungu Onyesha Segemu Hela Ilipo.
2. Ikiwa kama tuhuma hii ni kweli, kwa kipindi chote hao maafisa walichojipimia, na bado hawajavimbiwa. Twafaa!!!
3. Chifu Mkuu huwa anakatiza mitaa hiyo kila mara, je hajasikia kilio chenu hata kwa mbali?
 
Tokea 2014 hawa wananchi walikuwa likizo?? Hadi Leo ndiyo umma utangaziwe??
Mbunge wa Hai wakati huo alikuwa wapi wakati haya yakitokea?
 
Halafu nikukumbushe Aliyekua boss wa hii kampuni kutoka hiyo kirikiri yenu alisweka ndani baada ya kuiba milioni 900 za maji na bila shaka wewe utakua mwanae au ni mnufaikia mfumo wa unyonyaji ndo zenu nyie watu wa modio
Unaendelea kudhihirisha chuki yako. Huyo Menard aliyekuwa meneja ndani ninkwa ajili ya ishu ya pesa ya KNCU na wala siyo pesa za maji.
Unaongea kwa chuki kiasi kwamba unaondoa uhalali wa madai yako.

Unalalamika kuwa Mudio Islamic wanuziwa maji ilihali nyie pia mnauziwa. Pia isitoshe maji hayo siyo ya wananchi ni kama ilivyo umeme pia. Nguzo zinawekwa shambani kwako lakini lazima utalipia ili kupata huduma ya umeme.

Kwanza watu wa huko Kimira ni wasumbufu sana kulipa bili.
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho!!!Kirikiri ni kimira?Jifunze kutofautisha

Pili unasema eti nachozungumza ni uwongo?Unakifahamu kijiji cha kimira au unaropoka?Kimira ya Juu yote kuanzia kanisani mudio tokea 2014 wananchi wanateseka maji yameuzwa Islamic na kibohehe halafu unaongea...
Piganeni yaishe tu
 
Sasa kama kuna Shule mbili; na kila moja imeshauziwa maji yote. Halafu kuna mwekezaji Wa Kahawa; naye unasema ameuziwa maji.

Unazungumzia maji mangapi Mangi?
 
Mudio islamic sidhani kama wana hela ya kununua maji yote ya Tanzania ...hizi ni figisu tu wanasingiziwa watu wa mnyaaaazimungu
 
Back
Top Bottom