Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
hatari sana ni huku kukosekana mvua au uoto wa asili kule juu umeharibika!?..Kwa sasa maji yapo ila ni kidogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana ni huku kukosekana mvua au uoto wa asili kule juu umeharibika!?..Kwa sasa maji yapo ila ni kidogo sana
Huna akili mkuuNon sense!
Mfanyabiashara ana haki ya kumuuzia mteja amtakaye.
Iombe serikali yako ikuletee maji.
Alikua mbowe ambaye hata jimbon alkua haonekaniTokea 2014 hawa wananchi walikuwa likizo?? Hadi Leo ndiyo umma utangaziwe??
Mbunge wa Hai wakati huo alikuwa wapi wakati haya yakitokea?
OkWanajipimia[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2092941
hatari sana ni huku kukosekana mvua au uoto wa asili kule juu umeharibika!?..