Ukiwa kiongozi unaendeshwa kwa sheria na taratibu huku busara na hekima vikikuongoza.Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Kwangu logic itakataa nitakapo msikia mkurungezi akisema aliwapa wagombea wengine fomu zisizo fanana bila sababu maalum mkuu.
Kwa hiyo wagombea wa vyama vingine hawajarudisha! Je, zimepokelewa au wanasubiri uteuzi kisha waambiwe fomu zao ni feki.
Uteuzi haupo mbali tusubiri tuone...maana kwa maelezo ya mwenyekiti wa CDM sio CDM tu waliopewa hizo fomu...hata NCCR.
Je, NCCR wamesharudisha? Zimekubaliwa? Tusubiri kwenye uteuzi.
Kabisa wakimuua mmoja au watatu kutakuwa na heshima. Alafu uatakuta jitu lenyewe limetoka kondoa huko au mteraInatakiwa Apasuliwe Mkurugenzi mmoja ili wengine watie akili.
Huu ujinga niliutarajia sana tu, kama kuzitoa hizo fomu ni kwa mbinde basi kwenye kuzirudisha ni lazima figisu zitakuwepo sana tu na hata wakizipokea bado wagombea wengi wa upinzani wataenguliwa tuWagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi
Lililopo..
Nimekupa fomu kisha ukasema ni feki...
Si mnasemaga tz kuna wachawi hawa washenzi hakuna hata wakuwaloga kweli??Kwani hawa wakurugenzi wanaishi wapi tunaenda usku tunawakata wamelala watueleza vizur
kataeni kabisa huyo mkurugenzi , ikiwezekana fanyeni jambo la kukumbukwa milele
CHADEMA wataka TUME YA UCHAGUZI kumuondoa msimamizi wa uchaguzi Moshi Vijijini ambaye ni mkurugenzi wa wilaya Castory Msigala kwa vile hawana imani naye kutokana na matendo na mienendo yake ktk kazi ya kusimamia mchakato mzima wa kuelekea katika kufanyika uchaguzi mkuu ulio wa haki na huru oktoba 2020.
Mfano fomu walizopewa CHADEMA zinautofauti mkubwa na zile fomu walizopewa wagombea wa CCM.
Risiti kwa ajili ya malipo walizopewa CHADEMA kwa ajili ya fomu zinautofauti na risiti walizopewa CCM kwa ajili ya kufanyia malipo.
Mkurugenzi amekiri fomu zina utofauti na mkurugenzi hana uwezo wa kutambua fomu halali au la.
Chanzo: Mwananchi digital
Sawa Daby, lakini Wewe Yanga, utakubalije goli la Kagere?! Wewe fisi(em) hukumu kondoo inaachaje kuwa kifo?! Swala hili huwezi kuhukumu kwa haki wakati Wewe ni ccm mboga mboga! (sitakutendea haki nkisema ccm damu damu!!)Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena...
Kwenye nukta ya Mkurugenzi kukataa fomu, namuunga mkono kwa asilimia zote. Mtu yeyot mwenye akili timamu hawezi kukubali hilo, yaani udai fomu ni feki, kisha unirudishie tu, nipokee, hili haliwezekani kabisa, lazima uthibitishie hicho unachokidai, kisha mengine yaendelee.Bado kuna majinga hayaoni kuna shida nchi hii!!