Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Wewe umeongea hoja ya msingi huenda kulikuwa na shida mahali mzazi akashindwa jizuia.
Hata hivyo mzazi alitakiwa akamshitaki mwalimu sehemu sahihi siyo kumpiga.

Hapo ni jinai anaweza kufungwa.
Kuna waalimuwengine hawapo makini na Kuna watoto wengine Wana malezi mabaya.
 
Yah nadhani alifariki kwa Corona. Ila Moro sec ilikuwa na madada du sio poa.
Kumbe juzijuzi tu hapa jamani apumzike kwa amani !

Miaka hiooo Morosec Hostel kuna shida ya maji ile jioni tulikua tunaenda shuleni kwenu kuomba maji!

Yanii Morosec ubishoo tangu enzi hizoo sikuhizi na hiki kizazi nasikia ndio balaa tupu!
 
Kumbe ulisoma Moro sec udugu?
Mwenzio nilikuwa Forest hill kwa Patel ila nilisoma mwaka mmoja nikahama
 
W
Wewe tulia si ulitaka mwenyewe kuwa mwalimu? Unaelewa maana ya ualimu ni wito???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…