Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwalimu wa math mbona mkali hivo??!
Shida ni kumpiga sehemu tofauti na fimbo zisizohesabika ila ambazo zinaeza leta madhara mabaya!

Kuna mitoto inakera nyiee acheni tu!

Sasa kuna hawa vijana walimu waliopita JKT alooo wanakimbizana nao balaaaπŸ™ŒπŸ™Œ 😁😁😁!
 
Ndio maana wanapeleka watoto shule zao hizo zenye mpaka watu wa kuwapandisha watoto kwenye magari wasipate shida.

Toto linakuwa kama andazi,papai si papai,kama kuku la kisasa[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Ile shule ilikuwa bomba sana!! Vipi hukufanikiwa kuibuka hata na muhindi mmoja? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Miye nilisoma na watoto wa kishua hatare wakipqki na prado yao ya baba zao miye sina time nilikuwa nakuja na Hiace ya Omary yule. Asubuh na mchana km watoto wa yellow bus
 
Mi wangu alikua anakaa Maeneo ya karibu na shule yenu Basi jioni lazima aje Maeneo ya Hostel Morosec alikua ananiletea chakula cha nyumbani kwao mara moja moja!!🀠🀠
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wahindi wajinga
Sema nilikuwa nawapenda sio wabahili!!
Alikuwa ananipa pesa shopping naenda mambaz shop au classic near na Nmb bank
 
Miye nilisoma na watoto wa kishua hatare wakipqki na prado yao ya baba zao miye sina time nilikuwa nakuja na Hiace ya Omary yule. Asubuh na mchana km watoto wa yellow bus
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulikuwa unakaa sabasaba au chamwino?
 
Nimesoma maoni ya wanajamii forums,nihitimishe tu kwa kifupi kuwa hadhi ya JF imeshuka na i taabani!
 
Mzee tukubali tukatae malezi ya watoto siku hizi hayapewi kipaumbele.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Kwani malezi gani wewe unayoyataka hasa?? Kwani bila bakora za kuua mtoto haleleki? Usipende kumzoesha mtoto mibakora hata kwa makosa madogo madogo ya kumuelekeza, mnawatengenezea watoto usugu!

Bakora sio malezi lkn bakora inahitajika kwenye malezi, sasa hapo changanua vzr
 
Wapumzike kwa amani jamani!

Sikuhizi Hostel ni Advance tu???

Mi sijawahi kukutana nao!

HM kipindi hiko nae atakua alishastaafu kuna kipindi nilisikia alikua Afisa Elimu Iringa huko badae akaugua sijajua kama bado yupo hai au la!
 
Huyo mzazi utashangaa hachukuliwi hatua yoyote ile.

Maana huko huko Hai jambazi kama Sabaya mahakama imeliachia lidunde tu mtaani unatarajia nini.
 
Shida ni kumpiga sehemu tofauti na fimbo zisizohesabika ila ambazo zinaeza leta madhara mabaya!

Kuna mitoto inakera nyiee acheni tu!

Sasa kuna hawa vijana walimu waliopita JKT alooo wanakimbizana nao balaaaπŸ™ŒπŸ™Œ 😁😁😁!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna watoto watukutu nao wanazipanga mdundane na ukiangalia body lake la mazoezi, unaweza kutoka nduki
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna watoto watukutu nao wanazipanga mdundane na ukiangalia body lake la mazoezi, unaweza kutoka nduki
🀠🀠🀠😁!
Naona Vijana wa Field waliotoka JKT wanaojifanya watukutu wanawakataje mitama kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…