Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu hata wewe??? 🤔🤔🤔Inahusu nini mwanafunzi kudeki shule?
Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata wewe??? 🤔🤔🤔Inahusu nini mwanafunzi kudeki shule?
Bado tupo kijinga sana, akili za kitumwa.
Hata mimi nini?Mkuu hata wewe??? 🤔🤔🤔
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahMwanafunzi kudeki shule kwani yeye analipwa na serikali hizi kazi za kudeki walimu ndio wafanye wao.
Mzazi kampiga tichaHakuna mzazi aliyepigwa huko moshi
Mkuu mkunje samaki angali mbichi na asiyesikia la mkuu huvunjika mguu!Mwalimu mbona unamkingia sana kifuabmwalimu mwenzio? Yani kamchapa fimbo? Kweli mwalimu huu ndio ukweli?
Hata hivyo acha wazazi tulinde watoto wetu maana tunaona namna mnawashambulia wanetu huku mkiwarekodi na kutuonyesha mtandaoni.
Popote ulipo mzazi mlinde mwanao kwa gharama yoyote walimu wa leo vijanavijana hawa sio watu sahihi kwa usalama wa watoto wetu mambo yamebadilika sana.
Mkuu wewe ndio una speculate, taarifa ipo wazi, kama una ukweli unaoufahamu mbali na uliowekwa kwenye taarifa uuseme hapa sio kusema tena tuseme ukweli. Wewe ndiye unayelazimisha upande mkuu!Tatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
Mkuu usijaribu kupaint walimu kama ni watu wasio na akili, utu, wakatili na criminal. Wewe mwenyewe unapingana na taarifa ya tukio. Usihukumu walimu wote kuwa wakatili kwa kutumia incident moja ambayo mwalimu alikuwa anatimiza majukumu yake.Una uhakika ni kweli alikataa kudeki akachapwa fimbo moja tu? Kabla ya kutoa laana upande mmoja hebu jiridhishe kidogo nini kilitokea.
Nakupa mfano mmoja mdogo, mtoto wa jirani yangu alikuwa mgonjwa wa pumu na alitakiwa asifanye kazi ngumu kwa muda aliokuwa anatumia dozi fulani na taarifa mzazi alipeleka shuleni.
Akaja mwalimu fulani mgeni akaintroduce program ya kukimbia asubuhi kama mazoezi, so kwakuwa yule dogo alikuwa ana kamwili fulani yule mwalimu akajua dogo mzembe tu na akamlazimisha akimbie ili apungue, mzazi alivyoskia vile bado kidogo aje ale kichwa cha yule mwalimu ndio waalimu wengine wakaomba msamaha.
Kumbuka mtoto hawezi kujieleza vizuri ni jukumu la mwalimu kumuelewa haraka kwanini hataki kazi fulani na kuchukua hatua stahiki ila sio kukimbilia kuchapa mtoto kama punda. Rudia tena kutoa comment kistaarabu
Na katika hili unaweza kujifunza na kubaini mtu mwenye shule kiasi kichwani na asie na shule kichwani.Hali ya taharuki imetokea katika shule ya msingi Narumu, katika Kijiji cha Narumu wilaya ya Hai, baada ya mama mmoja ajulikanae kwa jina la Valeria, kuingia ofisi ya walimu na kumpiga Mwalimu.
Mwalimu huyo ambaye ni wa kike (jina limehifadhiwa) alijeruhiwa hivyo Kupelekea kutoka damu puani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni mwalimu huyo kumchapa mwanafunzi huyo wa darasa la tano fimbo moja kwa kosa la kukataa kudeki darasa.
Mtoto huyo alienda kusema kwa mamake huku akilia ndipo mzazi huyo alipochukua jukumu la kwenda hadi shuleni na kumpiga mwalimu huyo na kumjeruhi.
Aidha mwenyekiti wa kijiji hicho Bwana Ismael Urassa pamoja na diwani wa kata hiyo wamethibisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa tukio hilo limefika ofisi ya kata na linashughukiwa.
Mkae nayo hayo matoto yenu.....myafundishe.....Usikute Wala sio fimbo moja.Wacha wapigwe maana walimu wamezidisha.
Mkuu Habari ya uislamu na mada yenyewe wapi na wapi??? tujadili hoja iliyopo ya uhalifu aliofanyiwa mwalimu na mzazi wakati mwalimu anatekeleza majukumu yake.Waislam hao... usafi anaojua ni kuchezea mavi yake kwenye kuchamba no wonder jamii zao zina vipindu pindu balaa.
Mkuu watu hawajui madhara ya kuwaumiza walimu. Tunasahau tupo hivi kwa sababu ya juhudi za walimu. Walimu msife moyo, timizeni wajibu wenu!Una point, lkn mzazi naye ana mdomo, angeweza kuongea na walimu sio kuchukua Sheria mkononi.
Unafikiri mtoto atakua anajisikiaje akijua walimu hawatamuadhibu Tena.
Unafikiri Kuna mwalimu hapo shuleni atashughulika na huyo mtoto?
Yuko mzazi mmoja Dar alikwenda shuleni kwa lengo la kumpiga mwalimu lkn walimu wanamtetea mwenzao na kumuambia huyo mzazi, kuanzia leo hatuta shughulika na huyo mtoto wako hata akiumwa hakuna atakaye kupigia simu.
Mzazi alidhani Ni utani.
Mkuu unamlindaje? utamfundisha? Subiri akikuwa utaelewa umuhimu wa mwalimu!Mwalimu mbona unamkingia sana kifuabmwalimu mwenzio? Yani kamchapa fimbo? Kweli mwalimu huu ndio ukweli?
Hata hivyo acha wazazi tulinde watoto wetu maana tunaona namna mnawashambulia wanetu huku mkiwarekodi na kutuonyesha mtandaoni.
Popote ulipo mzazi mlinde mwanao kwa gharama yoyote walimu wa leo vijanavijana hawa sio watu sahihi kwa usalama wa watoto wetu mambo yamebadilika sana.
👍👌👏🙏Na katika hili unaweza kujifunza na kubaini mtu mwenye shule kiasi kichwani na asie na shule kichwani.
Moja anachochewa na mihemko, ghadhabu na hasira bila kutathmini wala kujua hatari na madhara mbeleni....
Mwingine anaamua kuchukua hatua kwa hekima na utulivu sana tena baada ya kutathmini kwa kina, madhara ya yanayoweza tokea huko mbeleni ikiwa ataamua vinginevyo...
Nadhani mzazi angemwendea kwa upole Mwalimu,yeye pamoja na mwanae wangesaidika vizuri zaidi kwenye suala la malezi.
Hata kijana alichapwa na kuumizwa bado ingekua faida kwake kwa siku za usoni, kuliko kumjengea mwanae ujasiri na kiburi dhidi ya anayoelekezwa na walimu na pengine jamii baadae....
Haitamsaidia.....
Mimi walimu nawajua vizuri, huyo mtoto hajakataa kudeki Wala hajachapwa fimbo Moja, ukiona mpaka mzazi ameenda shuleni kufanya fujo basi jua huyo mtoto kachakazwa haswa. Mie nishasema mwalimu muadhibu mwanangu kistaarabu ukimpiga mwanangu kama unapiga punda na wewe jiandae kupigwa dadekTatizo mwandishi ameamua kuchagua kuwa upande wa waalimu bila hata kutumia akili, hivi kweli mtoto achapwe fimbo moja halafu mzazi aje kufanya fujo shuleni?
Fanyeni uchunguzi kidogo kabla ya kuleta habari kwenye public.
-inawezekana mtoto ana matatizo ya afya ndio maana alikataa kudeki, so mwalimu kabla ya kukurupuka kutumia mafimbo angemshirikisha mzazi(siku hizi simu zipo kila mahali).
-semeni ukweli alimchapa vipi na alitoa maneno gani wakati anamchapa au wakati mzazi alipokuja shuleni.
UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI.
👍👌👏🙏🎁Angenikuta mimi hakika angejuta huyo mama ningemung'oa taya right away, wazazi wabadilike, shule zinaendeshwa kwa utaratibu na kufuata sheria za nchi, mimi kumchapa mtoto naruhusiwa baada ya kupewa idhini na mkuu wa shule, ambapo viboko visizidi vitatu kwa kila kosa.
Pili wazazi watambue kuwa shule ni sehemu salama kwa mtoto kujifunza mitaala ya ziada,mfano kulima,kufanya usafi na kumfanya mtoto ajue mazingira ya kujitegemea,sasa chukulia mtoto nyumbani kazi zote zinafanywa na house girl ,je yeye atajua lini haya majukumu!?
Kingine naona baadhi ya member wanaraumu mtoto kufanyishwa usafi hasa huyu member FaizaFoxy na Islam005 sasa kwa akili ya kawaida mwalimu ndo afanye usafi mazingira ya shule!? Shule zetu za serikali zinajulikana ni supana mkononi,kama hutaki mtoto afanyishwe kazi peleka shule za kulipia kama feza.