Moshi: Mzazi ampiga na kumjeruhi mwalimu shuleni kwa kosa la kumuadhibu mwanae

Mkuu mkunje samaki angali mbichi na asiyesikia la mkuu huvunjika mguu!
 
Mkuu wewe ndio una speculate, taarifa ipo wazi, kama una ukweli unaoufahamu mbali na uliowekwa kwenye taarifa uuseme hapa sio kusema tena tuseme ukweli. Wewe ndiye unayelazimisha upande mkuu!
 
Mkuu usijaribu kupaint walimu kama ni watu wasio na akili, utu, wakatili na criminal. Wewe mwenyewe unapingana na taarifa ya tukio. Usihukumu walimu wote kuwa wakatili kwa kutumia incident moja ambayo mwalimu alikuwa anatimiza majukumu yake.

Kwa taarifa tu ni kwamba adhabu kwa mwanafunzi ipo kisheria ili mradi utaratibu wa kutoa adhabu hiyo ufuatwe, na kwa tukio hilo umefuatwa almost 90%

Mkuu mhalifu hapo ni mzazi na mwanaye that is the plain truth! Acha kutumia hisia kuhukumu!
 
Na katika hili unaweza kujifunza na kubaini mtu mwenye shule kiasi kichwani na asie na shule kichwani.

Moja anachochewa na mihemko, ghadhabu na hasira bila kutathmini wala kujua hatari na madhara mbeleni....

Mwingine anaamua kuchukua hatua kwa hekima na utulivu sana tena baada ya kutathmini kwa kina, madhara ya yanayoweza tokea huko mbeleni ikiwa ataamua vinginevyo...

Nadhani mzazi angemwendea kwa upole Mwalimu,yeye pamoja na mwanae wangesaidika vizuri zaidi kwenye suala la malezi.
Hata kama kijana alichapwa na kuumizwa bado ingekua faida kwake kwa siku za usoni, kuliko kumjengea mwanae ujasiri na kiburi dhidi ya anayoelekezwa na walimu na pengine jamii baadae..
Haitamsaidia...

Mjengee mwanao malezi na ujasiri wa kumsadia, sio kumbomoa na kupambana na wanaomzunguka, huo sio upendo katika malezi.
 
Waislam hao... usafi anaojua ni kuchezea mavi yake kwenye kuchamba no wonder jamii zao zina vipindu pindu balaa.
Mkuu Habari ya uislamu na mada yenyewe wapi na wapi??? tujadili hoja iliyopo ya uhalifu aliofanyiwa mwalimu na mzazi wakati mwalimu anatekeleza majukumu yake.

Matusi kwa kwa imani au mtoa hoja sio afya!
 
Mkuu watu hawajui madhara ya kuwaumiza walimu. Tunasahau tupo hivi kwa sababu ya juhudi za walimu. Walimu msife moyo, timizeni wajibu wenu!
 
Mkuu unamlindaje? utamfundisha? Subiri akikuwa utaelewa umuhimu wa mwalimu!
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™
 
Mimi walimu nawajua vizuri, huyo mtoto hajakataa kudeki Wala hajachapwa fimbo Moja, ukiona mpaka mzazi ameenda shuleni kufanya fujo basi jua huyo mtoto kachakazwa haswa. Mie nishasema mwalimu muadhibu mwanangu kistaarabu ukimpiga mwanangu kama unapiga punda na wewe jiandae kupigwa dadek
 
πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ™πŸŽ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…