Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
ππππ Na boys wa Mzumbe sec wamewatafuna sana wadada wa Kilakala na Moro sec!Dah kitambo sana!!
Sisi tukiwa Olevo Hostel tulikua na Crew ya madada wa Advance ni wadeadly balaaa!
Weekend usiku wanatoroka wanaenda Club Morogoro Hotel kikinuka tunawapigia simu kuwajulisha namie nilikua chawa waoπ!
Kwenye Joint Mass Wasichana wa Morosec tulikua tunacompete na Kilakala kugombania boys wa Mzumbeπ!
Morosec mashauziiiii Kilakala wapolee wametulia ilikua hekaheka balaa!
Sisi wa Forest tulikuwa mashauzi mengi tunadeal na wahindi na wanachuo wa MU na SUA πππ
Udugu tuziache hizi story watu wataconnect dot wanijue bure