Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Morogoro yenyewe haiingii kwa Moshi, huko kwenu bukoba ndo takataka kabisa, Bukoba haiwez kushindana hata na Boma ng'ombe
Hapa umepotoka parefu saana tembelea moro halafu urudi tena kukomenti
 
Wewe nakuona una utindio wa ubongo, kilimanjaro ni kati ya mikoa ya Mwisho kabisa kwa ukusanyaji wa mapato leo hii unatuletea utumbo hapa.
Angalia hapo alafu fananisha na kikahama chako.. Hadi Mwanza inakimbizwa kwa kuchangia kodi kubwa.. Una lingine??
Screenshot_20220511-181930.png
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Naona ulipata demu wa kichaga akakupiga za kichwa unakuja kutolea hasira zako uku wachaga ndyo wameendeleza maeneo mengi kwenye hii nchii wamewaletea maduka Hadi uko kijijini kwenu punguza makasiriko tafuta pesa
 
Haya mangi so unataka kusema zile mita 10 ulizolima chakula ndio kinakutoshereza tembea uone watu wanavyolimq achana na uchafu wenu wa moshi
Sisi tunatumia intensive agriculture. Kilimanjaro Eneo dogo high technology then chakula kingi. Ninyi mnalima ekari 5 za maharage unavuna debe 1 tu.
 
CBD ya kahama uwezi kulinganisha na pori la mahindi.
Kwani kahama watu wameshaanza kujenga vyoo?
Maana mpaka juzi kulikuwa kuna kampeni ya serikali kuhimiza wakazi wa Kahama umuhimu wa matumizi ya choo, maana kaya nyingi hazina vyoo, na zenye vyoo bado hawavitumii ipasavyo

Sasa kwa hali hiyo, huwa wanajisitiri vichakani, kwenye mashamba ya mahindi au hapo hapo CBD?
 
Back
Top Bottom