macjay
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 371
- 409
Naishi Moshi toka 2014 mpaka sasa na nimezurula kiasi fulani ndani ya Tanzania.
Kuhusu Moshi na Kilimanjaro kwa ujumla
Mazuri yaliyopo
1. Elimu ..jamaa wanathamini sana Elimu ..familia nyingi kiwango cha chini cha usomi ni kidato cha nne
2. Fighting spirit - wanapambana sana katika kutafuta fedha na ndio maana wanatoka sana nje ya mkoa wao kutafuta.
3. Link na foreign countries ..hasa katika ishu za Elimu ni kitu cha kawaida kwa shule za Moshi Sekondari na Primary kuwa na ufadhili toka ulaya na angalau asilimia 10 mpaka 30 ya wanafunzi katika shule wanaufadhili kutoka mashirika mbali mbali yenye link na ulaya..
3. Mazingira...wanatunza sana mazingira yaani ni sehemu ya maisha yao..ukizingua faini nje nje na usishangae baada ya sensa ukaambiwa wastani wa umri wa kuishi Kilimanjaro ni miaka 90.
4.Life style ..wana tabia za kizungu time minded people hakuna vijiiwe vya kahawa kila sehemu labda maeneo ya Uswahilini na Njoro lakini pamoja na kuwepo na vijiiwe hivyo bado kuna biashara wakaa vijiweni wanafanya hapo hapo.
5. Wanawake ni independent sana...kama hujui 80% ya machinga Moshi ni wanawake.
Labda kwa sababu wanaume wanasepa mikoanikutafuta.
Wanawake wanshikiria uchumi wa familia ...chunguza taasisi wafanya biashara wakubwa wa Moshi mwenye kauri ya mwisho ni Mama.
6. Utamaduni wao ..mjini wanakuja kufanya biashara ..jioni wanarudi migombani na ndio maana ukiingiia migombani kukuta nyumba yenye thamani ya milioni kuanzia 100 iz not a big deal..
7.Ziara za Desemba Krismas...wanarudi kupanga mipango ya familia ...umevuna nini muda wote ulioenda kutafuta na matatizo ya home yanatatuliwaje ni very serious debate ...kama kuna aliyepoteza direction anarudishwaje kwenye njia