Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Naishi Moshi toka 2014 mpaka sasa na nimezurula kiasi fulani ndani ya Tanzania.
Kuhusu Moshi na Kilimanjaro kwa ujumla
Mazuri yaliyopo
1. Elimu ..jamaa wanathamini sana Elimu ..familia nyingi kiwango cha chini cha usomi ni kidato cha nne
2. Fighting spirit - wanapambana sana katika kutafuta fedha na ndio maana wanatoka sana nje ya mkoa wao kutafuta.
3. Link na foreign countries ..hasa katika ishu za Elimu ni kitu cha kawaida kwa shule za Moshi Sekondari na Primary kuwa na ufadhili toka ulaya na angalau asilimia 10 mpaka 30 ya wanafunzi katika shule wanaufadhili kutoka mashirika mbali mbali yenye link na ulaya..
3. Mazingira...wanatunza sana mazingira yaani ni sehemu ya maisha yao..ukizingua faini nje nje na usishangae baada ya sensa ukaambiwa wastani wa umri wa kuishi Kilimanjaro ni miaka 90.
4.Life style ..wana tabia za kizungu time minded people hakuna vijiiwe vya kahawa kila sehemu labda maeneo ya Uswahilini na Njoro lakini pamoja na kuwepo na vijiiwe hivyo bado kuna biashara wakaa vijiweni wanafanya hapo hapo.
5. Wanawake ni independent sana...kama hujui 80% ya machinga Moshi ni wanawake.
Labda kwa sababu wanaume wanasepa mikoanikutafuta.
Wanawake wanshikiria uchumi wa familia ...chunguza taasisi wafanya biashara wakubwa wa Moshi mwenye kauri ya mwisho ni Mama.
6. Utamaduni wao ..mjini wanakuja kufanya biashara ..jioni wanarudi migombani na ndio maana ukiingiia migombani kukuta nyumba yenye thamani ya milioni kuanzia 100 iz not a big deal..
7.Ziara za Desemba Krismas...wanarudi kupanga mipango ya familia ...umevuna nini muda wote ulioenda kutafuta na matatizo ya home yanatatuliwaje ni very serious debate ...kama kuna aliyepoteza direction anarudishwaje kwenye njia
 
Mabaya ya Moshi na Kilimanjaro
1. Ardhi hawa jamaa hawauzi ardhi kirahisi.
Usinunue eneo Moshi bila kufanya uchunguzi wa kutosha unaweza kujikuta kwenye mgogoro na familia
2. Manispaa ina eneo dogo sana hivyo mji unatanuka kwenda Moshi vijijini ..maeneo ya KCMC , kiborloni unaweza kuuziwa kiwanja cha 20 kwa 20 zaidi milioni 20 ....
Pia ni ngumu kukuta maeneo karibu n mjini manispaa au halmashauri ya Moshi vijijini inatangaza offer za viwanja ina maana maeneo Mengi yana watu yaani occupied.
3. Tabia yao ya kupanda migombani kila ifikapo jioni inafanya kujenga mjini kwao ni second option....hivyo ataliendeleza eneo lake la mjini endapo kama linamlipa
4.Dont trust them...kama wewe ni kiongozi wa taasisi na sio mwenyeji wa mkoa huu unatakiwa kuwa makini ....ni wakali wa kujimobilize dhidi yako na unaweza ukaingia kwenye kashfa usitoke...kwa kifupi wakabila sana kwenye sehemu yenye maslahi. Wanapenda kuwaita wakuja "chasaka"
Mimi pia ni chasaka kwani sitokei mkoa huu..
5. Wanaume wengi wanapopevuka wanaondoka home na wanaacha wake zao huku...hivyo kuna masingle mom wa kutosha ..na hii mentality wanawake wa huku wanaona ni party and parcel hawajali kwao ndoa ni heshima tu
 
Umesahau moja muhimu "vijana kwa wazee ni walevi kupindukia"
 
30C2EC93-62AB-4DDE-ABF3-D37FB2FE6D6B.png
 
Hivi huoni hata aibu? Kuwa kwenye conversation ya kupewa Jiji yenyewe tu ni achievement. Umeshasikia huko kwenu Shinyanga, Simiyu sijui Bukoba kupo kwenye hiyo conversation?? Labda miaka mia ijayo.

Moshi imeanza kuongelewa siku nyingi, kitu pekee ambacho ni kikwazo ni ardhi pekee. Vingine vyote imeshakidhi tangia muongo uliopita.

Je, wewe mkoa wako umeshawahi kuomba entrance ya kufikiriwa kuwa Jiji? Rais akija kwenye mkoa wako conversation huwa nini? Shida ya maji, shule ziko mbali, barabara na madaraja hakuna, umeme upo mjini pekee?? Au zinakuwa zipi?
 
Sawa mangi tumekusikia lakini kwanini wanaume wanakimbia huko moshi kama kuna fursa wakiwaacha wamama peke yao?
 
Mabaya ya Moshi na Kilimanjaro
1. Ardhi hawa jamaa hawauzi ardhi kirahisi.
Usinunue eneo Moshi bila kufanya uchunguzi wa kutosha unaweza kujikuta kwenye mgogoro na familia
2. Manispaa ina eneo dogo sana hivyo mji unatanuka kwenda Moshi vijijini ..maeneo ya KCMC , kiborloni unaweza kuuziwa kiwanja cha 20 kwa 20 zaidi milioni 20 ....
Pia ni ngumu kukuta maeneo karibu n mjini manispaa au halmashauri ya Moshi vijijini inatangaza offer za viwanja ina maana maeneo Mengi yana watu yaani occupied.
3. Tabia yao ya kupanda migombani kila ifikapo jioni inafanya kujenga mjini kwao ni second option....hivyo ataliendeleza eneo lake la mjini endapo kama linamlipa
4.Dont trust them...kama wewe ni kiongozi wa taasisi na sio mwenyeji wa mkoa huu unatakiwa kuwa makini ....ni wakali wa kujimobilize dhidi yako na unaweza ukaingia kwenye kashfa usitoke...kwa kifupi wakabila sana kwenye sehemu yenye maslahi. Wanapenda kuwaita wakuja "chasaka"
Mimi pia ni chasaka kwani sitokei mkoa huu..
5. Wanaume wengi wanapopevuka wanaondoka home na wanaacha wake zao huku...hivyo kuna masingle mom wa kutosha ..na hii mentality wanawake wa huku wanaona ni party and parcel hawajali kwao ndoa ni heshima tu
Ndio maana hili limji haliwezi kuendelea na litadumaa adi yesu atakaporudi.
 
Hivi huoni hata aibu? Kuwa kwenye conversation ya kupewa Jiji yenyewe tu ni achievement. Umeshasikia huko kwenu Shinyanga, Simiyu sijui Bukoba kupo kwenye hiyo conversation?? Labda miaka mia ijayo.

Moshi imeanza kuongelewa siku nyingi, kitu pekee ambacho ni kikwazo ni ardhi pekee. Vingine vyote imeshakidhi tangia muongo uliopita.

Je, wewe mkoa wako umeshawahi kuomba entrance ya kufikiriwa kuwa Jiji? Rais akija kwenye mkoa wako conversation huwa nini? Shida ya maji, shule ziko mbali, barabara na madaraja hakuna, umeme upo mjini pekee?? Au zinakuwa zipi?
Endeleeni kuongelea hadhi ya jiji hivyo hivyo mpaka utakapokufa na ata vitukuu vyako havitanusa hiyo hadhi ya jiji kwa hicho kimji cha moshi.
 
Vipi zile data za TRA ulizosema zipo wapi 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom