Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Soon Ngangamfumuni itaanza Kazi mkuu.
Hilo Tatizo la Stand litakuwa limetatuliwa kwa kiasi
 
Watu wanafikiri Moshi vijijini ni porini kwa sababu ya migomba na miti mingi, bila kujua kwamba maeneo mengi ya Kilimanjaro vijijini ni RUR-URBS, yaani rural-urban au semi-urban.
Yan december ndo mgeni akienda kule ataona utofauti.
Kunawatu wamejiwekea utaratibu wa kipekee sana.
Watu wanatoka na magar kwenye migomba ila bonge la mjengo na njia zipo.
Huko kanisani sasaaa.
Acha watu wajibrand tuu.
ile kauli ya tembea uone ndipo nilielewa nilipotembelea kibosho na viunga vyake
 
Unapolinganisha maeneo ni muhimu kuweka vigezo na sio kuja na hitimisho la kiujumla.

Kwangu mimi mpaka kesho, kwa hapa Tz, Moshi is best town linakuja suala la Usafi, Ustaarabu na Usalama.
Binafsi halmashauri ya manispaa ya Kahama ipo juu kimaendelea kuliko moshi.
1 migodi ya dhahabu + Elution
2 kiwanda cha bati
3 kiwanda kikubwa cha maji kipo njiani
4 Kahama Oil Mills, mkoani Shinyanga ambacho moja ya shughuli zake ni kutengeneza mabomba na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutekeleza miradi ya maji, sina hakika kama bado kinafanya kazi
5 n.k

Kuhusu usalama, kaskazini sio sehemu salama nchini Tanzania.

Ni heri nikaishi kanda ya ziwa, mikoa ya pwani, tanga, magharibi na ukanda wa kusini, kuliko nikaishi uchaggani 😁


Haya nitajie baadhi ya vigezo mlivyonavyo huko kijiji cha moshi
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Embu ulizie robo heka ni shilingi ngapi?
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
Hiyo picha hapo ni jiji kuu la nchi ya Nepal [emoji1178], ambayo inapakana na India... Linaitwa Kathmandu.. Unaona hayo mashamba ya mpunga?? Na pembeni mwake kuna magorofa, acha kukariri jombaa.
 
Tanzania hii Dar es Salaam, Mwanza na Arusha ndio kunafaa kuwa majiji.
 
Aliekuambia mahindi yanafanya kutokuwa jiji ni nani..?? Hii mind set ya mji kuwa jangwa ifike mahali ife mimea inafaida kushinda hata hayo majiji mnayokimbilia!.
Alisikika Msukuma mmoja akitema Nyongo[emoji23]
 
Hiyo picha hapo ni jiji kuu la nchi ya Nepal [emoji1178], ambayo inapakana na India... Linaitwa Kathmandu.. Unaona hayo mashamba ya mpunga?? Na pembeni mwake kuna magorofa, acha kukariri jombaa. View attachment 2218381

Mmeanza tena kufananisha kijiji cha moshi na kathmandu!!! Are you serious? Haya nasubiri battle ya Dubai city and moshi village 😁 huu mwaka mmetisha
 
Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba

Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
ngoja waje watakushukia kama mwewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…