Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

Kumbe hata haujui picha ulizowekewa ni za wapi? Ulidhani za Kahama? Poor you. Unapoteza nguvu nyingi kwenye ujinga.
 
Ila wapare wanatumia fursa vichaka kujisaidia wabahili mpaka kujenga vyoo

Joke tu🀣🀣🀣
 
Wewe nakuona una utindio wa ubongo, kilimanjaro ni kati ya mikoa ya Mwisho kabisa kwa ukusanyaji wa mapato leo hii unatuletea utumbo hapa.
Kutoka TRA mkoa wa Kilimanjaro ni wa tatu baada ya Dar na Arusha kwa makusanyo ya kodi..
 
Moshi vijijini...

Sema mnabebwa sana nyumba ya udongo lakin ina umeme..viongozi wenu wanawajaliView attachment 2220665
 
Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
Wanamaneno mengi ukiwasikiliza utazani kweli mji wao utakuwa ni bora kuliko miji yote Tanzania lakini kiukweli wana miji primitive sana na za ovyo kabisa.
 
Stand iko mwishoni kukamilika.
 
Naona unalazimisha ligi ambayo haipo, sipo hapa kuupigia debe mji wa Moshi kuwa ni bora. Mimi nimeandika baadhi facts za kawaida sana nilizoziona katika mji huo wa Moshi nilipofanikiwa kutembelea miaka tofauti tofauti, zipo facts njema na mbaya kuhusu mji wa Moshi na nimezisema. Na nikasema unapotaka kulinganisha ubora wa maeneo ni vyema ukaja na vigezo vya kulinganisha kuliko kuja na hitimisho la jumla jumla.

Lakini linapokuja suala la USAFI, USTAARABU NA USALAMA, kwa hapa Tanzania, bila kumumunya maneno, kwangu Moshi is the best. Kama uamini hilo, mtafute mtalii yoyote aliyewahi kufika Tanzania na kutembelea wastani wa miji tofauti tofauti mitano (Moshi ikiwemo) halafu utashangaa sana akikueleza hichi ninachokisema hapa. Katika mazingira ya nchi kama Tanzania ambapo miji mingi na wakazi wake hawajali usafi, hawana ustaarabu na usalama ni jambo la kubahatisha, Moshi ni sehemu bora ya kwenda kujifunzia.

Kuhusu kuilinganisha Moshi na Kahama kwa vitu ulivyovitaja, kwa watu wenye akili wanakuona wewe mshamba.

Kwa mfano wewe unajivunia Kahama kuwa ni bora kisa kuna mgodi wa dhahabu (wakati sote tunajua mji wenye machimbo ya dhahabu ni sehemu hatarishi kuishi binadamu na viumbe hai wengine kwa sababu ya uharibifu mkubwa wa mazingira), Moshi watakwambia mji wao uko chini ya mlima mrefu kuliko yote Afrika uliozungukwa na uoto wa asili wenye kumvutia kiumbe yoyote kuja kuishi.

Ukisema kahama kuna kiwanda cha maji (na sote tunajua kuzalisha maji ya kunywa kando ya machimbo ya migodi ya dhahabu sio ufahari bali ni ujinga), Moshi watakwambia wanakiwanda kikubwa na bora kabisa kwa ukanda wa Afrika mashariki na kati cha kuzalisha vinywaji vya Cocacola na maji ya Kilimanjaro (kiwanda cha Bonite) chanzo chao kikiwa ni chemchem salama kutoka vijito vya mlima Kilimanjaro.
 
Sehemu kama marangu ni moshi vijijini lakini inaweza kuwa kama masaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…