The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hakuna kitu kule wewe,tulishaishindanisha na Njombe ikashindwa ndio ije kushindana na Moshi?Picha za Kahama kagoma kuleta 😂😂
Like ni gulia lilipchangamka ila sio Mji wa kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kule wewe,tulishaishindanisha na Njombe ikashindwa ndio ije kushindana na Moshi?Picha za Kahama kagoma kuleta 😂😂
Kumbe hata haujui picha ulizowekewa ni za wapi? Ulidhani za Kahama? Poor you. Unapoteza nguvu nyingi kwenye ujinga.Nasubiri wana moshi waje kukubishia 😁
Mji wa kahama una
1 Barick gold mining
2 Bulyanhulu Gold mining
3 kiwanda kikubwa cha maji kipo njiani kufunguliwa
4 kiwanda cha bati
5 vituo vya mafuta vingi na vya kisasa
6 BANK OF AFRIKA
7 DTB
8 NBC
9 CRDB
10 TPB
11 NMB
12 Elution
13 N.K
Watuwekee na MOSHI, wana nini cha kujivunia!!!
Naanza👇🏽
1 Watengenezaji wa Pombe aina ya Mbege
2.???
Mi bado nasubiria tu aniletee picha mkuu hahahaha..Hakuna kitu kule wewe,tulishaishindanisha na Njombe ikashindwa ndio ije kushindana na Moshi?
Like ni gulia lilipchangamka ila sio Mji wa kuishi.
Si wamewekeza kweny elimu jamaniHaka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
Hiyo nayo ni barabara yakuonyesha?Wacha wee kwamba hapo Moshi unaweza pata barabara kama hii ya Morogoro? [emoji116]
View attachment 2220573
Hapo sio moshi ni arushaKahama ni gulio lililochangamka hakuna kitu ..
Waambie wakupe picha kama hii ya Moshi[emoji116]
View attachment 2220579
Mbona hiyo photo ya juu ni ya Mwanza.
Kutoka TRA mkoa wa Kilimanjaro ni wa tatu baada ya Dar na Arusha kwa makusanyo ya kodi..
Wewe ni tajiri wa ujinga na upumbavu, acha kufananisha Jiji la kahama na gulio la walevi la Moshi.Hakuna kitu kule wewe,tulishaishindanisha na Njombe ikashindwa ndio ije kushindana na Moshi?
Like ni gulia lilipchangamka ila sio Mji wa kuishi.
Wewe zako za kijiji cha moshi ziko wapi? Badala ya kuleta picha za moshi mnaleta picha za Mwanza mix na za arusha.Mi bado nasubiria tu aniletee picha mkuu hahahaha..
Moshi vijijini...Kiwanda kikubwa cha maji kiko njiani kufunguliwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kahama is a glorified village my friend and no body cares whether it's a town or municipal...
Human development index in kilimanjaro region is 0.631 ...this alone speaks volume
Wanamaneno mengi ukiwasikiliza utazani kweli mji wao utakuwa ni bora kuliko miji yote Tanzania lakini kiukweli wana miji primitive sana na za ovyo kabisa.Haka ka mji kamechoka, kamepauka hakana maendeleo nilimaliza hapo mary goreti mwaka 2000 ila hadi leo mji uko vilevile. Wachaga mpunguze maneno rudini kwenu mkapaendeleze lol
Stand iko mwishoni kukamilika.Kwangu mimi, stendi ya kisasa iwe na sifa hizi.
1. Uwezo wa kumudu idadi kubwa ya mabasi ya mikoani kwa mara moja (Kwa stendi ya moshi hapana, upande wa kulia wameweka stendi ya coaster za Arusha, noah za Rombo na upande wa kushoto ndio rasmi kwa mabasi ya mikoani(masafa) lakini bado utakutana na coaster na Hiace za kwenda Kibosho, Mwanga. Ni fujo tupu.
2. Sehemu ya abiria pumzika kwa nafasi, uhuru na usalama. (Kwa stendi ya moshi hakuna)
3. Ofisi rasmi za makampuni ya mabasi (kwa stendi ya moshi hakuna)
4. Huduma za vyoo vya kisasa na mabafu (huduma ya vyoo ipo lakini sio vya kisasa au unadhifu)
Kuhusu Moshi kujenga stendi mpya ya kisasa (sijui maeneo ya majengo? Nami najua majengo ni maeneo ya karibu na katikati ya mji) hilo nalo ni hadithi ya miaka mingi mnoo, huenda ni jambo lisiloweza kutekelezeka, nilipofika 2010 niliambiwa hivyo, 2014 nikaambiwa hivyo, 2018 hadithi ni hiyo hiyo, November 2021 hadithi ni hiyo hiyo. Nilipochunguza nikagundua kuwa, kumbe ile stendi ya sasa ni kitega uchumi cha wajanja wa manispaa na madiwani wa CCM, wanavuta pesa nzuri kila mwezi kwa watu waliopangisha, siku stendi mpya ikijengwa tu na ulaji wao utakuwa umekwisha, na hawako tayari kwa hilo.
Naona unalazimisha ligi ambayo haipo, sipo hapa kuupigia debe mji wa Moshi kuwa ni bora. Mimi nimeandika baadhi facts za kawaida sana nilizoziona katika mji huo wa Moshi nilipofanikiwa kutembelea miaka tofauti tofauti, zipo facts njema na mbaya kuhusu mji wa Moshi na nimezisema. Na nikasema unapotaka kulinganisha ubora wa maeneo ni vyema ukaja na vigezo vya kulinganisha kuliko kuja na hitimisho la jumla jumla.Binafsi halmashauri ya manispaa ya Kahama ipo juu kimaendelea kuliko moshi.
1 migodi ya dhahabu + Elution
2 kiwanda cha bati
3 kiwanda kikubwa cha maji kipo njiani
4 Kahama Oil Mills, mkoani Shinyanga ambacho moja ya shughuli zake ni kutengeneza mabomba na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutekeleza miradi ya maji, sina hakika kama bado kinafanya kazi
5 n.k
Kuhusu usalama, kaskazini sio sehemu salama nchini Tanzania.
Ni heri nikaishi kanda ya ziwa, mikoa ya pwani, tanga, magharibi na ukanda wa kusini, kuliko nikaishi uchaggani 😁
Haya nitajie baadhi ya vigezo mlivyonavyo huko kijiji cha moshi
Sehemu kama marangu ni moshi vijijini lakini inaweza kuwa kama masakiKumbe ni manispaa!!!, sio wilaya!!! Hebu fanya research vizuri kama kweli ni manispaa. Yani kimji kakipumbavu sana, hakana maendeleo, kameja walevi.
Ukiitoa GEITA ambayo ni mkoa.
Kahama na Simiyu zimeendelea,,,Moshi cjui tumlinganishe na nani? Labda Maswa au Nzega
Una uhakika mkuu??Wewe nakuona una utindio wa ubongo, kilimanjaro ni kati ya mikoa ya Mwisho kabisa kwa ukusanyaji wa mapato leo hii unatuletea utumbo hapa.