Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Michigan ni city ya walalahoi kule US, kwahiyo ni sawa kabisa kujilinganisha nao!!Kahama imefanana na Michigan city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michigan ni city ya walalahoi kule US, kwahiyo ni sawa kabisa kujilinganisha nao!!Kahama imefanana na Michigan city.
Watoto wa 2000 halafu form 4 ni shida sanaAngalia hapo alafu fananisha na kikahama chako.. Hadi Mwanza inakimbizwa kwa kuchangia kodi kubwa.. Una lingine??
View attachment 2220764
Kiongozi usije ukachukulia kila kitu humu ni serious shauri yako😂😂😂
Matusi nimekutukana wewe tofautisha kati ya L na R unajidhalilisha.Sasa matusi yanatoka wap kijana...
Acha kujidharirisha
Mtoto ww usiyejua tofauti ya L na R na bado unajiunga humu badala ujifunze kwanza.Inawezekana nabishana na mtoto hapa
Sehemu kama marangu ni moshi vijijini lakini inaweza kuwa kama masaki
Mi bado nasubiria tu aniletee picha mkuu hahahaha..
Mbona Dar wameweka kiwilaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama huko wameweka mkoa mzima jua ni mkoa wenye wilaya zake na sio Manispaa tuSasa kwa akiIi yako Mkoa wa Kilimanjaro kodi kubwa hapo itapatikana wapi zaidi ya Manispaa ya Moshi??
Weka picha acha hadithi za kijinga.
Tuone picha please
Mkuu ebu niambie KIA inaingiza mapati gNi kea Kilimanjaro? Holili pale panaingiza mapato gani?, Tarakea napo kuna nini?Watoto wa 2000 halafu form 4 ni shida sana
Kia unajua inaingiza pato bei gani na ipo wapi?
Holili,nalemeru tarakea kote kuna boda zipo manispaa ya moshi? Na mimi nasema manispaa ya moshi town sio mkoa wa Kilimanjaro
Unaongelea mapato ya Halmashauri ya mapato ya kikodi??Picha sio solution kijana,,,
Hebu nikuulize, ni wapi kuna mzunguko mkubwa wa pesa kati ya halmashauri ya manispaa ya kahama na moshi? Hapo mkoa wake/Shinyanga nimeuweka pending.
Dar hapo wameweka mikoa ya kikodi. Ina mana hata hili hulijui??Mbona Dar wameweka kiwilaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama huko wameweka mkoa mzima jua ni mkoa wenye wilaya zake na sio Manispaa tu
Moshi haina bahari na ile migomba inafunika majengo haupati ile view ya moja kwa moja labda ndiyo maana lakini hali ya hewa na mazingira hata majengo moshi ni kitu ingine alafu ni vijijiPunguza mahaba kijana,,,unaijua masaki wewe!!!
Nilishawaambia wenzangu humu, itafikia mahala atakuja mchagga mmoja hapa kuicompare moshi na dar/mwanza/Dubai,,,aise mmetisha, hata aibu hamuna [emoji1787]
Mbona Dar wameweka kiwilaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama huko wameweka mkoa mzima jua ni mkoa wenye wilaya zake na sio Manispaa tu
Moshi haina bahari na ile migomba inafunika majengo haupati ile view ya moja kwa moja labda ndiyo maana lakini hali ya hewa na mazingira hata majengo moshi ni kitu ingine alafu ni vijiji
Unaongelea mapato ya Halmashauri ya mapato ya kikodi??
Nijibu hili kwanza
Kwanza tafsiri ya maendeleo ni ipiSikatai, Moshi ni kuzuri na hata mandhari yake pia ni nzuri, huko marangu nimetembea hadi water falls nimeenda in short ni kuzuri mkuu. Lakini sidhani kama kuna maendeleo kuizidi kahama/mkoa wa Shinyanga kwa ujumla wake.
Vita ya wachaga na wasukuma imerudi tena.Kumbe ni manispaa!!!, sio wilaya!!! Hebu fanya research vizuri kama kweli ni manispaa. Yani kimji kakipumbavu sana, hakana maendeleo, kameja walevi.
Ukiitoa GEITA ambayo ni mkoa.
Kahama na Simiyu zimeendelea,,,Moshi cjui tumlinganishe na nani? Labda Maswa au Nzega