Kuna kitu Lissu kachelewa kukifahamu, ukiwa mgombea wa nafasi yoyote kupitia CHADEMA pale Moshi huhitaji kupiga kampeni ili ushinde.Video yaTundu Lissu akiwasili Moshi mjini usiku huu.
View attachment 1585986
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu Lissu kachelewa kukifahamu, ukiwa mgombea wa nafasi yoyote kupitia CHADEMA pale Moshi huhitaji kupiga kampeni ili ushinde.
Ndio maana ameshindwa kuwatuliza....laiti angetokea maamuma yeyote awazuie watu kumuona Lissu kwa kisingizio cha muda kuisha mida hii angekuwa ndani ya friji.
Yaani hawa jamaa pasua kichwa, namba zitakaposomeka baada ya 28/10 wataanza kusema wameibiwahio ni sheria kwa mgombea yoyote, huoni anapitisha sku 5 hajafanya kampeni! ivi unadhan ccm inaendeshwa kienyeji, lazima numbers zisum up kwanza, before anything else numbers first! sasa nyie mkishaona watu barabaran mnahesabu ni kura
Kabla ya Lissu kuja mlisema jiwe asifanye kampeni ni matumizi mabaya ya pesa.hio ni sheria kwa mgombea yoyote, huoni anapitisha sku 5 hajafanya kampeni! ivi unadhan ccm inaendeshwa kienyeji, lazima numbers zisum up kwanza, before anything else numbers first! sasa nyie mkishaona watu barabaran mnahesabu ni kura
Nadhani wote tunayaona haya mabongo fleva, Sasa siku likitokea la kutokea tukifanya sherehe humu msianze kutufokeaSubiri JPM aingie huko ndio utajua mbivu na mbichi.
Kabla ya Lissu kuja mlisema jiwe asifanye kampeni ni matumizi mabaya ya pesa.
Saivi anampigia Lissu goti[emoji23][emoji23]View attachment 1586127
Kabla ya Lissu kuja mlisema jiwe asifanye kampeni ni matumizi mabaya ya pesa.
Saivi anampigia Lissu goti[emoji23][emoji23]View attachment 1586127
Kimekaa kama geto kina nyomii kubwa nchi nzima bila FIESTA.ivi unajua chama chenu kimakaa kama geto flan ivi, maaana hamna numbers, hamna ofisi, strategy hamna! yaani izi wiki zmebaki shikeni moyo vizuri maaana ni pressure inakuja! alafu ccm hata mkiungana vyama vyote nchini bado hamuwezi kukitoa! btw bado hamjamaliza tu maongezi ya act?
Kwa wale wanafunzi wa darasa la 4 ndio wapiga kura wa ccaiseee, unahesabu kura kwa watu kuja kushangaa mkutano? [emoji23] [emoji23] :wenzako ccm hua wanakuaga na uzio wa wapiga kura wa uhakika na wa nyongeza ambao wataskiliza sera
Ooh Lissu ni rais wa mitandaoni tu bla bla bla.hao nyomi mmeshindwa hata kumfikisha 200K followers twitter, sasa nyomi gan mnaongelea! numbers numbers numbers!!
- chadema sio jengo na mikutano mnafanyia mlimani city? ivi
- have u noticied mbowe yuko separate ways na lissu pamoja na lema?
Kwahiyo magufuli na lisu yupi anae vunja sheria.Hatatoboa na nawambia hawezi ila ni mbwemnwe tu.
Na hapo kavunja sheria maana mwisho.wa mikusanyiko ni saa 12 sasa kama anjua sheria na anvunja sheria basi ujue huyo ana dharau sana,
Akiingia madarakani atavunja zaidi.
Mtu kwao, kajenga uwanja wa ndege kwao kijijini.Kwa wale wanafunzi wa darasa la 4 ndio wapiga kura wa cc
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo lisu yy ndie aliyepiga magotiChadema hamuaminiki, mliwahi kuhamasisha maandamano ya Mange Kimambi badala yake polisi wakajikuta hamna watu wa kuwaongoza ktk maandamano..Twende na Membe nayo ikaishia hewani.Ya Lissu nayo ni kelele tu maana ushindi wa Lissu hauzidi 9%.
Watapiga magoti Sana mwaka huuWasiyempenda Amekuja.[emoji23][emoji23]
Kwa wale wanafunzi wa darasa la 4 ndio wapiga kura wa cc
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app