Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Video yaTundu Lissu akiwasili Moshi mjini usiku huu.
View attachment 1585986
Kuna kitu Lissu kachelewa kukifahamu, ukiwa mgombea wa nafasi yoyote kupitia CHADEMA pale Moshi huhitaji kupiga kampeni ili ushinde.

Ndio maana ameshindwa kuwatuliza....laiti angetokea maamuma yeyote awazuie watu kumuona Lissu kwa kisingizio cha muda kuisha mida hii angekuwa ndani ya friji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Moshi wanajua kukeraaaa!
 
hio ni sheria kwa mgombea yoyote, huoni anapitisha sku 5 hajafanya kampeni! ivi unadhan ccm inaendeshwa kienyeji, lazima numbers zisum up kwanza, before anything else numbers first! sasa nyie mkishaona watu barabaran mnahesabu ni kura
Yaani hawa jamaa pasua kichwa, namba zitakaposomeka baada ya 28/10 wataanza kusema wameibiwa
 
  • Thanks
Reactions: nao
hio ni sheria kwa mgombea yoyote, huoni anapitisha sku 5 hajafanya kampeni! ivi unadhan ccm inaendeshwa kienyeji, lazima numbers zisum up kwanza, before anything else numbers first! sasa nyie mkishaona watu barabaran mnahesabu ni kura
Kabla ya Lissu kuja mlisema jiwe asifanye kampeni ni matumizi mabaya ya pesa.

Saivi anampigia Lissu goti[emoji23][emoji23]
IMG_20200929_220343.jpeg
 
Subiri JPM aingie huko ndio utajua mbivu na mbichi.
Nadhani wote tunayaona haya mabongo fleva, Sasa siku likitokea la kutokea tukifanya sherehe humu msianze kutufokea

Yaendelee kukata viuno lumumba tu

Warning
 
Kabla ya Lissu kuja mlisema jiwe asifanye kampeni ni matumizi mabaya ya pesa.

Saivi anampigia Lissu goti[emoji23][emoji23]View attachment 1586127

ivi unajua chama chenu kimakaa kama geto flan ivi, maaana hamna numbers, hamna ofisi, strategy hamna! yaani izi wiki zmebaki shikeni moyo vizuri maaana ni pressure inakuja! alafu ccm hata mkiungana vyama vyote nchini bado hamuwezi kukitoa! btw bado hamjamaliza tu maongezi ya act?
 
Kimekaa kama geto kina nyomii kubwa nchi nzima bila FIESTA.

Chama sio jengo ni watu na chadema inapendwa na watu majengo hayapigpi kura , watu wanapiga kura.

Kina JK na kinanana wanamcheka jiwe na maubabe yake kakalishwa chini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hao nyomi mmeshindwa hata kumfikisha 200K followers twitter, sasa nyomi gan mnaongelea! numbers numbers numbers!!
- chadema sio jengo na mikutano mnafanyia mlimani city? ivi

- have u noticied mbowe yuko separate ways na lissu pamoja na lema?
Ooh Lissu ni rais wa mitandaoni tu bla bla bla.

Mwaka 2016 wabongo mil 17 walikua wanatumia internet,hii 2020 sijui watakua wamefika wangapi.

Screenshot_2020-09-29-01-42-06-1.jpg
 
Naona wasanii walivyomaliza kuimba tu na wanasiasa walipoanza kuongea tu raia wakawa wanasepa zao kurudi majumbani.
 
Hatatoboa na nawambia hawezi ila ni mbwemnwe tu.

Na hapo kavunja sheria maana mwisho.wa mikusanyiko ni saa 12 sasa kama anjua sheria na anvunja sheria basi ujue huyo ana dharau sana,
Akiingia madarakani atavunja zaidi.
Kwahiyo magufuli na lisu yupi anae vunja sheria.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanafunzi wa darasa la 4 ndio wapiga kura wa cc

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Mtu kwao, kajenga uwanja wa ndege kwao kijijini.

Watoto wanasomea kwenye nyasi.

Bado anatumia gharama kubwa kulipa wasanii kuaminisha anapendwa kumbe watanzania tunampenda Lissu
IMG_20200929_215401.jpeg
IMG_20200929_165320.jpeg
 
Chadema hamuaminiki, mliwahi kuhamasisha maandamano ya Mange Kimambi badala yake polisi wakajikuta hamna watu wa kuwaongoza ktk maandamano..Twende na Membe nayo ikaishia hewani.Ya Lissu nayo ni kelele tu maana ushindi wa Lissu hauzidi 9%.
Kwahiyo lisu yy ndie aliyepiga magoti

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
The kicks of a dying horse! That is what is happening to Tundu Lissu and his party. Goodbye chadema. We shall miss you.
 
Hapa ndio somo LA kutokata tamaa linapoingia akilini vizuri endapo Lissu angekata mtamaa kwa yaliyomkuta isingekuwa hivi Leo,tujifunze kutokukata tamaa na kuwa na misimamo.
 
Back
Top Bottom