Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

Mossad wakamatwa wakitaka kuingia Lebanon kumuua kiongozi wa Hezbollah

Lebanon is doing a better job than Iran. Iran ameuwawa hadi rais wao ndani ya nchi yao na wameufyata.
Sidhani, inawezekana kabisa Israel wanajaribu kuwaondoa kwenye msitari. Ni vigumi sana tena sana kumtuma mtu kwa njia hiyo kwa sababh kila pahala pana scanner.
 
Iran ni nchi kubwa kuliko Lebanon huwezi kuidhibiti yote ipasavyo unaukubwa kama Tz na ina intelligence net work nyingi kupenyeza watu wao ni rahisi sanaa
Ina ukubwa mara mbili ya Tanzania.
 
Mtoa post ni moja kati ya watu maskini na maskini ni mzigo kwa taifa hili. Umaskini ni laana.
 
You're addicted to the religious opium owing to the weird comparison you're making.
Weirdo, FYI having a relationship with God can help provide guidance and support during difficult times in our life. When we are facing difficult challenges and seeking answers. Knowing that God is with us.
 
Suala la unoform sio issue ata wa palasitine na wa Lebonon katika oparation zao huvaa sare za israel kama camouflage, kwasbb kwassa hamna mpaka walioko wazi yote imefungwa
kwahiyo polisi wa lebanon anavaa sare za israel kisha anaingia lindo ? hv una akili timamu ? jeshi la Lebanon halina mgogoro na Israel bali wahuni Hizbollah waliojikita ndani ya Lebanon ndo weny shida na Israel
 
Tukisema hawa wenzetu wa upande wa pili kua vichwa wame amua kufugia nywele na ndevu mna kuja juu angalia sasa hii ilmu ya madrassa ilivo fanya ili zee lizidi kua jinga Bogus yaan Taburlalasa kabisa
Shenzen type🚮🚮
 
Tukisema hawa wenzetu wa upande wa pili kua vichwa wame amua kufugia nywele na ndevu mna kuja juu angalia sasa hii ilmu ya madrassa ilivo fanya ili zee lizidi kua jinga Bogus yaan Taburlalasa kabisa
Shenzen type🚮🚮
Kichwani hawana kitu dogo kaumbuka uzi anauchungulia kwa mbali.AMEINGIZWA MKENGE SASA HAWEZI HATA KUKAA. YEYE ALIDHANI ATAWADANGANYA WATU WENYE AKILI.HII VIDEO WAMEPEWA WAISAMBAZE WAKIAMBIWA HAO NI MAJASUSI WA ISRAEL WAMEKAMATWA.KUMBE NI NDUGU ZAO WENYEWE WAMEKAMATWA NA ASKARI WA ISRAEL.AIBU NMEONA MIMI
 
Back
Top Bottom