shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
Sidhani, inawezekana kabisa Israel wanajaribu kuwaondoa kwenye msitari. Ni vigumi sana tena sana kumtuma mtu kwa njia hiyo kwa sababh kila pahala pana scanner.Lebanon is doing a better job than Iran. Iran ameuwawa hadi rais wao ndani ya nchi yao na wameufyata.