Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Unajua we jamaa umeongea trivial point aisee!?
Kwako wewe ndio utaona trivial maana ni timu moja na ajuza.
Unawez kwenda kusoma na kuishi Ukraine!?
Wapo watanzania wamesoma Ukraine , Hungary , Romania na kadhalika.
Yani unataja mataifa ambayo yana vita na masikini!?
Hujaelewa context ya nilichoandika hivyo ungeuliza.
Angalau ungemtajia Brunei, Indonesia na Malaysia ningekuelewa.
Hayo ni machaguo yako mimi nimeuliza Somalia na Palestina.
 
Naona unafikria kwa kutumia makalio , swali ni wapi kawaita makafiri?

Unatetemeka πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwako wewe ndio utaona trivial maana ni timu moja na ajuza.
Bado unaongea ujuha vile vile kuupa ithibati ujuha wako.
Wapo watanzania wamesoma Ukraine , Hungary , Romania na kadhalika.
Hata huelewi nini nimemaanisha kwa kutoa huo mfano.Sasa hivi unaweza kumwambia mtu aende Ukraine kusoma sasa hivi!??
Labda utakua unaugua.
Hujaelewa context ya nilichoandika hivyo ungeuliza.
Huna context zaidi ya ujuha.
Hayo ni machaguo yako mimi nimeuliza Somalia na Palestina.
Somalia na Palestina zinafanana kihadhi na Canada!??
Hata maana ya kuoanisha unajua kweli!??
 
MOSSAD na IDF walianza assiggnment yao Baada tu ya 2006.
 
Kw
Kwani wakiuliwa si ndo raha kwao au? Au ww ndugu yangu hujawahi kubikiri?
 
Hili ni pigo kubwa sana.
Naskia jamaa anasema wametangaza vita.
Japo mimi sishauri,huu uwanja umeshainama aisee tena pakubwa saaanaaa.
Kuna majususi wa Israel ndani ya Hizbullah!

Wakati huu ni mgumu sana kwa Hizbullah kufanya chochote. Hali inaonekana wapo uchi kwa Israel. Kwa sasa watulie wapange tena safu yao upya.

Ila nimeumia aisee!
 
Tangu zamani kitu kinachoshindisha vita ni ujasusi. Kwenye vita anayeshinda ni yule anayeweza kupenyeza majasusi kwenye ngome ya adui. Inaonekana kabisa Israel imepenyeza majasusi ndani ya Hezbollah na wanajua kila kitu kinachopangwa na nyendo za viongozi wao.
 
Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.

Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
Ndio maana halisi ya inteligence hiyo mzee baba. Kwakifupi isarel wamejaa pale mashariki ya kati koooote. Kwenye kila uongozi wa nchi zoote jamaa wapo sema tu wana delay kufanya yao.
 
hivi ndivyo Mossad walivyoiangamiza Black september 1972 kama unakumbuka. Mossad walichinja viongozi wakuu tuu mpaka akakia kuruti ambaye alikimbilia Algeria na huko huko akauwawa.Naslalalh hivi sasa uso kwa uso na mungu wa Abraham kesi ya mauaji . adhabu yake watu hawa hurudishwa duniani na kugeuzwa nyoka wenye sumu kali huku wakinusa uchafu wote uliopo ardhini! Angalia sana adhabu ya kuuwa ni mbaya sana usiuwe hata kwa mshahala wakutumwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…