Huyu Ayatollah hawezi kuguswa kabisa na israel(sio kwamba hawana uwezo wa kumfikia, la hasha). Huu ni mpango mkakati.Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....
Warusi walinasa waves wakati anatuma umbea nchini kwake akadakwa.Kuna mtu aliitwa Eli Cohen, hadi sasa Syria hawataki kusikia hata jina lake, wakafanya hadi asiwe na kaburi. Huyu alikuwa ni jasusi wa Israel akitajwa ndiye jasusi bora.
Yeye alifanya ujasusi ndani ya Syria kati ya 1961 na 1965, kwa mbinu za medani alifanikiwa kujenga uhusiano wa karibu na uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Syria, kwa miaka minne.
Labda niseme Israel inafanikiwa sana kwa ujasusi, kwa kuwa huenda wana majasusi jasiri sana. Kufanya ujasusi kwa nchi adui namba moja wa nchi yako, na ujasiri. Tena kwa miake minne.
Kuna namna Eli Cohen aliingia Syria pamoja na namna alivyofanya kazi, utapenda. Siku moja nitaieleza hapa panapo majaaliwa.
Ova
Uwongo,watu buku wapoteze taifa la watu 6m+!!Mashambulizi yote ya nyuma hayakumpa Israel uhalali wa kufanya hiki anachofanya sasa. Lile lilikua ni bab kubwa na kama lingefaulu asilimia 100 kusingekuwa na taifa la Israel leo hii.
Hakika.... Ule mlipuko wa pagers ilikuwa alert Moja mbaya sana... Walipaswa kustuka mapema....Usaliti yes; but zaidi ya usaliti IDF na agents wao wameionesha dunia kwa vitendo what intelligence means. Ule mlipuko wa pagers kwa walengwa specific uliishangaza dunia and was a highest alert to Hezbollah. Sijui walikosea wapi kuelewa what would follow next.
Hizo akili hawana!Hakika.... Ule mlipuko wa pagers ilikuwa alert Moja mbaya sana... Walipaswa kustuka mapema....
Hi mijinga hata kuku anajua anaenda wapi kuliko hawa.Vita sio kuvunja majengo vita ni kukamilisha oparesheni husika.
*Israel IDF ilifeli kuokoa mateka wake wanne.
*Israel IDF ilifeli kuweka buffer zone Bint Jubeir.
-Sasa kuvunja kwao magorofa kuliwasaidia nini!??
Katazame deni la Israel kabla ya vita na sasalebanoni ilivunjwa vunjwa hadi leo imebaki na deni kubwa sana
Mtafute Habib Anga... Anayo simulizi ya huyu mwamba mwanzo mpaka mwisho... Niliisoma mpaka nikapagawa ...I'm interested na trusted source, hebu tupe hata links tu......utakuwa umesaidiea wengi!
Alipoanza kutuma taarifa nyingi ndani ya kipindi kifupi ndipo shida ilipoanza.Warusi walinasa waves wakati anatuma umbea nchini kwake akadakwa.
So Israel ni kama PDidy,.. anawapelekea moto ile mbayaIsrael anaenda kasi sana angepunguza speed kidogo,aishie tu kwanza hapo hapo kwa Hezbollah maana kama heshima ameshaipata angalao sasa watu wapumue.
Kuna kamanda wa Hezbollah aliyeuliwa wiki jana, jina nimemsahau.Ingependeza wakae kimya na watulie.
Uwanja umeshainama aisee.
Kheri ujifanye umekufa kuliko kufa kizembe.
Hezbollah kavuliwa nguoNikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Ni suala la mda tu,..nao watanyonyolewa!Wahouth wa Yemen ndio kiboko ya israel π
Kibaya zaidi kuna arab jews, Hata Eli Cohen alikuwa muarabu kabisa pure kwa kumtizama...Ndio maana halisi ya inteligence hiyo mzee baba. Kwakifupi isarel wamejaa pale mashariki ya kati koooote. Kwenye kila uongozi wa nchi zoote jamaa wapo sema tu wana delay kufanya yao.
Hao huwa wanabisha kila kitu, hata kama ni mchana atakomaa ni usiku na maneno yao ndio hayo kobazi, dera, vipedo , magaidi..Humu tunajadili hoja zenye mantiki mkuu.
Penye hoja panaungwa mkono.
Hata kipindi cha nyuma nilikua napinga na kubisha kwa hoja.
Hamas, Hizbullah ni makundi ya kigaidi ya kiislam ila waislam nyie wenye mirengo ya kigaidi husugar coat mkitaka yaonekane ni vyama vya siasa na ni wapigania uhuru tena msivyo na soni mnavifananisha vikundi hivyo na vyama kama ANCHizbollah ni kundi lililoanzishwa na uislam ila ni multi-ideology organization.
Sio kikundi cha uislam pekee.
Hamas ni political organisation ambayo ilianzishwa na waislam.
Ila ni kwaajili ya Gaza na Palestina wote.
Sahihi, ndio vita hio, ukipigwa kubali, ujipange.
Hii imewamaliza morali kabisa askari wa Hezbollah, na hili limeongeza morali ya vita IDF...
Hii vita Hezbollah kaanguka vibaya.
Mkuu tuko pamoja, yani tumepigwa KO round ya kwanza kabisaa..
Wajipange kwa wakati mwingine.
Mkuu, issue sio uzito wa bomb, hata wangepiga bomu kenye tons 1000 katika wrong time au wrong place wasingemuua....Ukitaka kujua Nasurlah ni mwanaume tazama Israel katumia 80 tons kwa ajili yake tu ili wamuwe. Huyu ndio mwanaume afu mashoga wanamsifu Israel . Hao ndio wana akili kweli? kutumia maboom ya 80 tons π
Yep, nilitizama filamu yake Netflix.. inaitwa The Spy,.... Sema kitabu sijasoma nadhani ukiandika hapa tutapata mengi zaidi...Kuna mtu aliitwa Eli Cohen, hadi sasa Syria hawataki kusikia hata jina lake, wakafanya hadi asiwe na kaburi. Huyu alikuwa ni jasusi wa Israel akitajwa ndiye jasusi bora.
Yeye alifanya ujasusi ndani ya Syria kati ya 1961 na 1965, kwa mbinu za medani alifanikiwa kujenga uhusiano wa karibu na uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Syria, kwa miaka minne.
Labda niseme Israel inafanikiwa sana kwa ujasusi, kwa kuwa huenda wana majasusi jasiri sana. Kufanya ujasusi kwa nchi adui namba moja wa nchi yako, na ujasiri. Tena kwa miake minne.
Kuna namna Eli Cohen aliingia Syria pamoja na namna alivyofanya kazi, utapenda. Siku moja nitaieleza hapa panapo majaaliwa.
Ova