Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....
Huyu Ayatollah hawezi kuguswa kabisa na israel(sio kwamba hawana uwezo wa kumfikia, la hasha). Huu ni mpango mkakati.

Huyu wanachofanya wanamkatia matawi(washirika wake) tu kama alivyofanyiwa mzee wa madaraja Tanzania(chuma mwenyewe).

Kisha mwisho wa siku ni natural death.
 
Kuna mtu aliitwa Eli Cohen, hadi sasa Syria hawataki kusikia hata jina lake, wakafanya hadi asiwe na kaburi. Huyu alikuwa ni jasusi wa Israel akitajwa ndiye jasusi bora.

Yeye alifanya ujasusi ndani ya Syria kati ya 1961 na 1965, kwa mbinu za medani alifanikiwa kujenga uhusiano wa karibu na uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Syria, kwa miaka minne.

Labda niseme Israel inafanikiwa sana kwa ujasusi, kwa kuwa huenda wana majasusi jasiri sana. Kufanya ujasusi kwa nchi adui namba moja wa nchi yako, na ujasiri. Tena kwa miake minne.

Kuna namna Eli Cohen aliingia Syria pamoja na namna alivyofanya kazi, utapenda. Siku moja nitaieleza hapa panapo majaaliwa.

Ova
Warusi walinasa waves wakati anatuma umbea nchini kwake akadakwa.
 
Mashambulizi yote ya nyuma hayakumpa Israel uhalali wa kufanya hiki anachofanya sasa. Lile lilikua ni bab kubwa na kama lingefaulu asilimia 100 kusingekuwa na taifa la Israel leo hii.
Uwongo,watu buku wapoteze taifa la watu 6m+!!
 
Usaliti yes; but zaidi ya usaliti IDF na agents wao wameionesha dunia kwa vitendo what intelligence means. Ule mlipuko wa pagers kwa walengwa specific uliishangaza dunia and was a highest alert to Hezbollah. Sijui walikosea wapi kuelewa what would follow next.
Hakika.... Ule mlipuko wa pagers ilikuwa alert Moja mbaya sana... Walipaswa kustuka mapema....
 
Vita sio kuvunja majengo vita ni kukamilisha oparesheni husika.
*Israel IDF ilifeli kuokoa mateka wake wanne.
*Israel IDF ilifeli kuweka buffer zone Bint Jubeir.
-Sasa kuvunja kwao magorofa kuliwasaidia nini!??
Hi mijinga hata kuku anajua anaenda wapi kuliko hawa.
 
Ingependeza wakae kimya na watulie.
Uwanja umeshainama aisee.
Kheri ujifanye umekufa kuliko kufa kizembe.
Kuna kamanda wa Hezbollah aliyeuliwa wiki jana, jina nimemsahau.

Yeye mbinu iliyotumika kumuua ni ya kimkakati wa kisomi sana.

Ofisi na makazi yalikuwa kwenye ghorofa moja vyumba tofauti.

Ghorofa ya pili ni ofisi, ghorofa ya nane ndiyo makazi.

Jamaa wakapiga mahesabu kumuulia ofisini wataua na wengi wasiohusika.

Karushiwa msg fake toka Mosasd: ...'mkuu pandisha chumbani kwako haraka kuna ishu ya dharula'...

Alipandisha anasonya kwamba wanamsumbua kuna jambo gani tena hilo sababu yote wameshayaongea kwenye briefing?

Kitendo cha kutua tu chumbani kwake, dege tayari lishafika kufumua!

Israel wana inteligency ya ziada!

Ukianza kusoma mikasa na mbinu wanazotumia katika matukio ya kuua viongozi wa Hamas na Hezibollah ni kama mchezo wa draft, kosa kidogo tu hasimu anakupandilia hadi kingi!
 
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Hezbollah kavuliwa nguo
 
Ndio maana halisi ya inteligence hiyo mzee baba. Kwakifupi isarel wamejaa pale mashariki ya kati koooote. Kwenye kila uongozi wa nchi zoote jamaa wapo sema tu wana delay kufanya yao.
Kibaya zaidi kuna arab jews, Hata Eli Cohen alikuwa muarabu kabisa pure kwa kumtizama...

Hawa wakijichanganya na arabs kutofautisha ni ngumu..
 
Humu tunajadili hoja zenye mantiki mkuu.
Penye hoja panaungwa mkono.
Hata kipindi cha nyuma nilikua napinga na kubisha kwa hoja.
Hao huwa wanabisha kila kitu, hata kama ni mchana atakomaa ni usiku na maneno yao ndio hayo kobazi, dera, vipedo , magaidi..

Mtu muelewa na anayejua mambo huwa anakiri kwenye hoja...
 
Hizbollah ni kundi lililoanzishwa na uislam ila ni multi-ideology organization.
Sio kikundi cha uislam pekee.
Hamas ni political organisation ambayo ilianzishwa na waislam.
Ila ni kwaajili ya Gaza na Palestina wote.
Hamas, Hizbullah ni makundi ya kigaidi ya kiislam ila waislam nyie wenye mirengo ya kigaidi husugar coat mkitaka yaonekane ni vyama vya siasa na ni wapigania uhuru tena msivyo na soni mnavifananisha vikundi hivyo na vyama kama ANC
 
Ukitaka kujua Nasurlah ni mwanaume tazama Israel katumia 80 tons kwa ajili yake tu ili wamuwe. Huyu ndio mwanaume afu mashoga wanamsifu Israel . Hao ndio wana akili kweli? kutumia maboom ya 80 tons 😄
Mkuu, issue sio uzito wa bomb, hata wangepiga bomu kenye tons 1000 katika wrong time au wrong place wasingemuua....

Accuracy ku track location, timing na intel wamecheza sana, Nasrallah sio mtu mwepesi, jamaa ni hatari.

Na Israel walijua yupo chini ya ardhi, hivyo mossad walijua hilo handaki lina concrete sijui tuseme zege kuzuia mashambulizi ya makombora yenye uzito flani, bunker buster zipo kwa ajili ya ku penetrate mahandaki ya kijeshi...

Hivyo waliongeza uzito zaidi mara kadhaa, ndio maana Israel wakasema kwa mara ya kwanza wametumia bomb hilo, walipiga mahesabu ya ki engineering kwamba kwa ugumu wa concrete ile watatumia uzito flani. Na kweli bomb likapenya hadi ndani halafu likalipuka....


Ndio maana tuliona moshi umechanganyikana na vumbi jekundu, ile ni kwamba bomb lilizama ndani hasa...

Hezbollah inawezekana walitengeneza sakafu/zege la hayo mahandaki kwa kupigia mahesabu uzito wa missilea za kawaida za ndege vita....

Ndio maana baada ya huo mlipuko hata Iran hawakuamini kama hilo bomb limeingia ndani kwenye handaki alipokuwa... Ndio maana Iran ikatoa taarifa Nasrallah yupo mzima na sehemu salama wakidhani bomb limepiga juu juu tu...

Hezbollah warudi nyuma wajipange...
 
Kuna mtu aliitwa Eli Cohen, hadi sasa Syria hawataki kusikia hata jina lake, wakafanya hadi asiwe na kaburi. Huyu alikuwa ni jasusi wa Israel akitajwa ndiye jasusi bora.

Yeye alifanya ujasusi ndani ya Syria kati ya 1961 na 1965, kwa mbinu za medani alifanikiwa kujenga uhusiano wa karibu na uongozi wa kisiasa na kijeshi wa Syria, kwa miaka minne.

Labda niseme Israel inafanikiwa sana kwa ujasusi, kwa kuwa huenda wana majasusi jasiri sana. Kufanya ujasusi kwa nchi adui namba moja wa nchi yako, na ujasiri. Tena kwa miake minne.

Kuna namna Eli Cohen aliingia Syria pamoja na namna alivyofanya kazi, utapenda. Siku moja nitaieleza hapa panapo majaaliwa.

Ova
Yep, nilitizama filamu yake Netflix.. inaitwa The Spy,.... Sema kitabu sijasoma nadhani ukiandika hapa tutapata mengi zaidi...
 
Back
Top Bottom