Ukitaka kujua Nasurlah ni mwanaume tazama Israel katumia 80 tons kwa ajili yake tu ili wamuwe. Huyu ndio mwanaume afu mashoga wanamsifu Israel . Hao ndio wana akili kweli? kutumia maboom ya 80 tons 😄
Mkuu, issue sio uzito wa bomb, hata wangepiga bomu kenye tons 1000 katika wrong time au wrong place wasingemuua....
Accuracy ku track location, timing na intel wamecheza sana, Nasrallah sio mtu mwepesi, jamaa ni hatari.
Na Israel walijua yupo chini ya ardhi, hivyo mossad walijua hilo handaki lina concrete sijui tuseme zege kuzuia mashambulizi ya makombora yenye uzito flani, bunker buster zipo kwa ajili ya ku penetrate mahandaki ya kijeshi...
Hivyo waliongeza uzito zaidi mara kadhaa, ndio maana Israel wakasema kwa mara ya kwanza wametumia bomb hilo, walipiga mahesabu ya ki engineering kwamba kwa ugumu wa concrete ile watatumia uzito flani. Na kweli bomb likapenya hadi ndani halafu likalipuka....
Ndio maana tuliona moshi umechanganyikana na vumbi jekundu, ile ni kwamba bomb lilizama ndani hasa...
Hezbollah inawezekana walitengeneza sakafu/zege la hayo mahandaki kwa kupigia mahesabu uzito wa missilea za kawaida za ndege vita....
Ndio maana baada ya huo mlipuko hata Iran hawakuamini kama hilo bomb limeingia ndani kwenye handaki alipokuwa... Ndio maana Iran ikatoa taarifa Nasrallah yupo mzima na sehemu salama wakidhani bomb limepiga juu juu tu...
Hezbollah warudi nyuma wajipange...