NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
Asee motivesheni sipika muache ujuaji. Michongo ya kukusanya watu na kuongea ushubwada! Miksa udadambu na uleta manyago kuna siku wananchi wemye hasira kali watawashangaza.
Mtu anakusanya watu ameshikilia maiki katika midia anawaaminisha watu kuwa siri ya utajiri ni ubahili. Guy is it fair? Eti kabisa unaaminisha watu kuwa kula milo mi 3 kwa siku ndo sababu ya yeye kuwa maskini? Guys? Aseee hivi kweli guys?
Kuna perpesctive nyingi sana zinazolezea sbabu za umaskini lakini 'the most inappropiate one' ni ile inayoshia kulaumu maskini kuwa wao ndo wanasababisha. Guys! Motivesheni wanakuaga na elim kias gan? Wanashindwa kueleqa kuwa perspective ya biashara, uchumi na arguments za kuanza mdogo mdogo hata kwa karanga sijui kunaweza kuleta ukuaji wenye tija ukapata kuwa nfanya biasharakama bahresa.
Swali: ni motivesheni gani hasa afrika/tanzania mwenye uchumi wa walau kumiliki kikampuni chenye branch hata 5 mikoa tofautu tofauti tanzania? Kama hakuna yeye mwenyewe hautaki utajiri huo? Kutwa kudunda mitaani na Vi'IST' uchwara kuvizia ada za semina za masikini kwemda kuwasimanga kwenye kumbi mbalimbali.
Zingatio : kuna mama wa kigeni hapa Unguja katokea Bulgaria kafungua mgahawa anauza ugali nyama choma wateja wake wengi Wamasai! 🤣🤣 GUDUBAI....
Kqlaga baho!