Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

Aina hii ya utajiri unapatikana kwa ubahili, tena ubahili wa kipare, unaacha kula nyama, unashindia mahindi ya kuchemsha ili kuficha elfu kumi kumi miezi kadhaa mpaka unanunua genereta.
Ndo ule mlo mmoja ili kutengemeza stability ya standard ya maisha yaliokuwa na options nyingi za matatizo yanayoweza kujitokeza katika maisha yako?. Utakuwa unaishi au unasubiria kufa?
 
Afrika mkuu ukishakuwa tajir ukafilisika haiwezekan kuja kuwa tena tajiri. Hata watu wanaoukzunguka hawawez kukubali uwe tajiri mara mbili 🤣
Hata watu wanaoukzunguka hawawez kukubali uwe tajiri mara mbili 🤣

Na ukahama eneo?
 
nilifanya vile vitu ninavyo viogopa maranyingi zaidi hadi nikawa gwiji katika umri mdogo kabisa
Your science is too broader, too scary! Au umepata jimama? Ninalo unguja hapa kazi yangu mm kula vizuri kulipelekea moto. What about you monsieur?
 
Your science is too broader, too scary! Au umepata jimama? Ninalo unguja hapa kazi yangu mm kula vizuri kulipelekea moto. What about you monsieur?
siwezi kulelewa na mwanamke.mimi nimesomea mechanical engineering upande wa European car

electrical na mechanical

kichwa kimejaa nondo za magari napiga hela tu

mademu wenyewe sasa hivi naagiza vigori tu kutoka singida
 
Unajiona wapi mkuu five years to come
 
Back
Top Bottom